Mchungaji wangu Lusekelo umeongea jambo la msingi sana juu ya uchapakazi wa Rc makonda anastahili pongezi sana kwa uchapakazi wake mzuri pamoja yakuwa hana chet halali chakusikitisha kwa upendeleo ulivyofanyika kwa huyu bwana inasikitisha kwa baadhi serikalini wameondolewa katika utumishi wa uma kwakutokuwa na vyeti halali pamoja yakuwa nao walikuwa watendaji na wachapakazi hodali sana wakaondolewa kazini lakini kwa huyu makonda au bashite kaachwa kisa nanukuu maneo ya bwana mkubwa mmoja kama mtu anachapa kazi vizuri hata kama ana vyeti feki hawezi kumwondoa kazini nimejaribu kutafakari kumbe alikuwa anamtetea ndugu bashite th hawa wengine fukuzilia mbali kule najiuliza maswali mengi haki iko wapi wengine unawafukuza wengine unawaacha tena wengi waliofukuzwa niwanyonge naye ujiite mtetezi wa wanyonge napenda kumweleza tu huyu bwana mkubwa hakutenda haki kwa hilo