Mchungaji Msigwa asema ATAKAYE MCHAGUWA Lowassa APIMWE AKILI

Mchungaji Msigwa asema ATAKAYE MCHAGUWA Lowassa APIMWE AKILI

11214338_10203843588288420_5482261875458435778_n.jpg



Hata Lowassa jana kasema ichagueni CCM.
 
Mkuu umepitiwa

Lissu stood for EL, Mchungaji pia na ameshirikiana vyema sana na Lema kumsapoti El, hata Wenje.,... You may not have the true picture ila hizo picha unazoona zimetengenezwa na CCM kama zile za enzi za list of shame

Akina Safari, MWalimu, MBatia, na super active youth machinery zinafanya kazi nzuri sana, usizibeze

Sasa kama hata wewe unauvaa mkenge, then kazi kubwa ipo mbele

Lowassa Kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom