Mkamba Mmasai
JF-Expert Member
- Apr 18, 2015
- 384
- 65
Kuna watu walikuzwa kwa lengo moja tu la kumtokomeza Lowassa kwenye anga la Kisiasa kazi imekamilika nao hawahitajiki tena na system, yupo waoi Dr.Slaa? Tundu lissu maji ya shingo kamtelekeza Lowassa karudi Jimboni, Msigwa nae kwaheri, Wenje alamsiki Bi nnur, wagombea wa Upunzan wenye uhakika wa kurudisha majimbo ni Sugu, Lema, Mbowe,Mdee na Joshua Nassari peke yao, wengine Salam ya kuonana, kwa wabunge wapya wa Upinzan mwny uhakika mpaka sasa ni Joseph Haule wa Mikumi peke yao, this time Ukawa itapata kura nyingi za Urais kuliko 2010 ila kwny Ubunge huenda idadi ya wabunge ikapungua kwa kuwa wamewekeza resource zote kwny Urais kule Majimbon hali ni Mbaya sana, pia kukosekana kwa Mtendaji Mkuu (Katibu mkuu) kumelazimisha Mbowe afanye kazi nyingi za Uenyekiti na ukatibu kwa wakati mmoja hivyo kupunguza ufanisi na utendaj kazi
Mkuu umepitiwa
Lissu stood for EL, Mchungaji pia na ameshirikiana vyema sana na Lema kumsapoti El, hata Wenje.,... You may not have the true picture ila hizo picha unazoona zimetengenezwa na CCM kama zile za enzi za list of shame
Akina Safari, MWalimu, MBatia, na super active youth machinery zinafanya kazi nzuri sana, usizibeze
Sasa kama hata wewe unauvaa mkenge, then kazi kubwa ipo mbele

kazi ya kuuza mbuzi kwenye gunia sio kazi. watanzania wanajitambua sio kama mnavyowaambia watu wakipinga hila yenu mbaya 'hawajitambui'. kwa sasa cdm inastahili kuogopewa kama ukoma.Mkuu umepitiwa
Lissu stood for EL, Mchungaji pia na ameshirikiana vyema sana na Lema kumsapoti El, hata Wenje.,... You may not have the true picture ila hizo picha unazoona zimetengenezwa na CCM kama zile za enzi za list of shame
Akina Safari, MWalimu, MBatia, na super active youth machinery zinafanya kazi nzuri sana, usizibeze
Sasa kama hata wewe unauvaa mkenge, then kazi kubwa ipo mbele
Utaelewa Al hamis Ijayo Inshallah namaanisha nini! Wako wapi kina Mabere Marando, Masumbuko Lamwai, Chiku Abwao, Fatma Maghimbi, Nalaila Jidawi, Makidara Mosi n.k kuna watu maalum huja kwa kazi maalum bila wao wenyewe kujijua kuwa wapo kwa kazi maalum, utajua baada ya Matokeo kutoka, Chadema utakuja new Version ya wabunge hawa waliopo wengi hawatarudi, Lema na Sugu hawana athari sana kwa kuwa ni wahamasishaji wazuri sana so wana siasa,
kweli hujui siasa za bongoMkuu huku Arusha kwa LEMA chochote kinaweza kutokea!watu hawana imani tena na Lema!Lema ameiua Arusha!kwa miaka 5 Chuga imesimama tu haijaendelea mbele!
Hata UKAWA wenyewe Lema hawamkubali wengi wao!chochote kile kinaweza kikatokea
Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao. Lowassa amepaniki na kupaniki.Msigwa hakujua kumbe Richmond ya kikwete. RIPTI YA MWAKYEMBE ILISEMA HIVO PIA KUWA WANGESEMA KILA KITU SERIKALI NZIMA INGEANGUKA.
Acheni kupoeteza muda HAPA NI LOWASA TU
Kuna watu walikuzwa kwa lengo moja tu la kumtokomeza Lowassa kwenye anga la Kisiasa kazi imekamilika nao hawahitajiki tena na system, yupo waoi Dr.Slaa? Tundu lissu maji ya shingo kamtelekeza Lowassa karudi Jimboni, Msigwa nae kwaheri, Wenje alamsiki Bi nnur, wagombea wa Upunzan wenye uhakika wa kurudisha majimbo ni Sugu, Lema, Mbowe,Mdee na Joshua Nassari peke yao, wengine Salam ya kuonana, kwa wabunge wapya wa Upinzan mwny uhakika mpaka sasa ni Joseph Haule wa Mikumi peke yao, this time Ukawa itapata kura nyingi za Urais kuliko 2010 ila kwny Ubunge huenda idadi ya wabunge ikapungua kwa kuwa wamewekeza resource zote kwny Urais kule Majimbon hali ni Mbaya sana, pia kukosekana kwa Mtendaji Mkuu (Katibu mkuu) kumelazimisha Mbowe afanye kazi nyingi za Uenyekiti na ukatibu kwa wakati mmoja hivyo kupunguza ufanisi na utendaj kazi
hii habari ni ya uwongo.
Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao. Lowassa amepaniki na kupaniki.