Mchungaji mmoja huko Marekani asifu mauaji ya mashoga Orlando

Status
Not open for further replies.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,051
12,949
Mchungaji mmoja wa kanisa la kibabtisti huko Sacramento CA, amesifu mauaji ya mashiga yaliyotokea hivi karibuni ambapo mashoga 49 waliuawa na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa..

Nchungaji Rogers amesikitika sana kwa nini hawakufa wengi na amemlaumu muuaji kua hakufanya kazi yake kwa usahihi na hakumaliza kazi yake sawasawa.

Mchungaji Rogers anatamani kama wangekufa mashoga wengi zaidi au wote waliokua kwenye ile club. Anadai kua watu wasikitike kwa nini mashoga wahakuuwawa wengi na sio kwa nini waliuwawa.

Unaweza kupitia hapa.
Pastors Praise Anti-Gay Massacre in Orlando, Prompting Outrage http://a.msn.com/r/2/AAhGt74?m=en-us&a=1
 
Huyo mchungaji hataki unafiki...
Unafiki ni kukubaliana na jambo ambalo hulikubali moyoni ila mdomoni unajifanya kulikubali.

Mchungaji kaamua kumwaga mboga kua anatamani mashoga wote wauawawe.

Binafsi hata mimi sipendi unafiki.
 
Unafiki ni kukubaliana na jambo ambalo hulikubali moyoni ila mdomoni unajifanya kulikubali.

Mchungaji kaamua kumwaga mboga kua anatamani mashoga wote wauawawe.

Binafsi hata mimi sipendi unafiki.
Nimempenda huyo Mchungaji coz kasema ya moyoni..wengine wanajifanya imewagusa kumbe moyoni wanatamani wote wafe.. Mchungaji kawa mkweli kwa nafsi yake..
 
Watu walimleta mwanamke aliyekutwa akizini kwa Yesu. Sheria ilikuwa inasema mwanamke akikutwa anazini ni sharti apigwe mawe mpaka kufa. Sasa walipofika kwa Yesu, wakamwambia Yesu kutokana na sheria zetu huyu mwanamke anatakiwa kupigwa mawe mpaka afe. Yesu akawaambia, asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe. Yesu aliinama chini na kuandika na aliposimaa wote kuanzia mdogo mpaka mkubwa waliondoka. Yesu akamwambia yule mwanamke, nenda zako na husitende dhambi tena.
 
Swala hili linakuwa kubwa zaidi Africa Tanzania ikiwepo je nini kinafanyika ?au ni kushangilia huyo mchungaji ilihali waharibifu wa watoto na mazingira mabovu ya malezi yanaendelea hali inayopelekea ushoga kukua#tumpongeze huyo mchungaji kwa kuwa mkweli lakini ni lazima nasi kama jamii kuchukua hatua Kali zaidi kwa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo.
 
Kwa hivi sasa TV na radio station zimeona ni fahari kuajili mashoga na wasagaji TV show sasa zinawapa publicity kubwa zaidi watu hao huku wakilazimisha watu kuwafurahia unadhani vijana wadogo wanajifunza nini?
Wanaume wanakataa watoto wanawake wanageuka single mother ambao in turn huwa marafiki wa hao gay na same time wako na watoto wa kiume na hawapendi watoto kuwa hivyo huku wamejenga mazingira ya watoto kuwa hivyo ni hatari zaidi
 
safi sana ni wachache wanaoweza kutoa maoni yao ya moyoni,mashoga ni uchafu unaochafua mazingira yetu asante sana kwa kuwapunguza
 
Hivi nyie mnaochukia mashoga na kushangilia huyo mchungaji mna tofauti gani na wale wazungu wanaoamini mtu mweusi ni half human na wangekuwa na uwezo mngerudi kuwa slaves au mngemalizwa wote, nyie mnabidi mkaishi pamoja na ile mizungu mibaguzi ili mtengeneze society yenu ya hate
 
Swala hili linakuwa kubwa zaidi Africa Tanzania ikiwepo je nini kinafanyika ?au ni kushangilia huyo mchungaji ilihali waharibifu wa watoto na mazingira mabovu ya malezi yanaendelea hali inayopelekea ushoga kukua#tumpongeze huyo mchungaji kwa kuwa mkweli lakini ni lazima nasi kama jamii kuchukua hatua Kali zaidi kwa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Ushoga haufundishi wala kulazimishwa,mashoga ni mashoga tu wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo na hakuna chochote mtafanya zaidi ya maneno yenu ya kashfa tuu tena nyuma ya keyboard na jamii zote zilizostaarabika zimewaachia waishi maisha yao na kuwalinda kama binadamu wengine na wengine ndio kila kukicha mnazama baharini kukimbilia hizo nchi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom