Hao matapeli tu hawana lolote.Kwanza umemvunjia 'heshima' mwenyewe huwa anajiita 'Mtume' Danstan Maboya..
Kuhusu mafundisho yake, hebu kuwa mpole Mkuu utajipa presha ya bure tu! Hizi imani siku hizi kila mtu na lwake.. Wewe huoni gwajima anavyojaza watu kwa miujiza ya kurudisha 'misukule'! Sasa jiulize kama hata hilo neno umewahi kuliona kwenye biblia au nabii au mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kurudisha 'msukule'!!
Kila mtu abebe msalaba wake, kila mtu aamini anachotaka! Ukitaka kufuatilia sana utaacha hata kusali. Maana hali inatisha, watumishi wanajiita hadi 'Mtume wa fedha', yule nabii wa kule mwanza anjiita Nabii Malisa yeye anayo miujiza hadi ya kuwaongezea watu Salio 'tigopesa'..
Hii ndio imani Mkuu, ndio maana Kiranga yakamshinda [emoji1]
Huyo mchungaji nishawahi kwenda kanisani kwake hana lolote tu huyo ni tapeli mara sijui ooh tapika uondoe masumbuko sijui tapika uachilie mapepo yaani ni usanii na upuuzi tu.Kwa wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe, Tumfisu Yesu Kristo, Mapendo......Kwa wale wenzetu pia amani iwe kwenu daima!
Ndugu zangu, Kuna mchungaji mmoja anayeitwa Maboya Danstan wakati akitoa neno la Bwana kwenye moja ya ibada zake huko Kenya alisema:
" Mungu haweki agano na maskini, kwa maana maskini hatabiriki, anaweza kubadirika wakati wowote". Na baadae akaendelea:
" Mapepo humwogopa mtu mwenye pesa, kwa kuwa anapomsaidia mtu anaombewa kila wakati; asubuhi,mchana hadi jioni. Mapepo hayapendi kukaa sehemu isiyotulia......Money is power".
Ni kweli haya maneno ya huyu mtumishi wetu wa Mungu?
Back to Dodoma.
Ukweli wa maneno ya Mungu hupimwa kwa Neno yaani BIBLIA.Kwa wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe, Tumfisu Yesu Kristo, Mapendo......Kwa wale wenzetu pia amani iwe kwenu daima!
Ndugu zangu, Kuna mchungaji mmoja anayeitwa Maboya Danstan wakati akitoa neno la Bwana kwenye moja ya ibada zake huko Kenya alisema:
" Mungu haweki agano na maskini, kwa maana maskini hatabiriki, anaweza kubadirika wakati wowote". Na baadae akaendelea:
" Mapepo humwogopa mtu mwenye pesa, kwa kuwa anapomsaidia mtu anaombewa kila wakati; asubuhi,mchana hadi jioni. Mapepo hayapendi kukaa sehemu isiyotulia......Money is power".
Ni kweli haya maneno ya huyu mtumishi wetu wa Mungu?
Back to Dodoma.
Mwl Mwakasege huwa anasema "soma biblia yako utaona ukweli" . Nadhani ukisoma biblia ina majibu yote na utajua hawa manabii na mitume wa siku hizi kama ni wa kweli au kimeo.Kwanza umemvunjia 'heshima' mwenyewe huwa anajiita 'Mtume' Danstan Maboya..
Kuhusu mafundisho yake, hebu kuwa mpole Mkuu utajipa presha ya bure tu! Hizi imani siku hizi kila mtu na lwake.. Wewe huoni gwajima anavyojaza watu kwa miujiza ya kurudisha 'misukule'! Sasa jiulize kama hata hilo neno umewahi kuliona kwenye biblia au nabii au mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kurudisha 'msukule'!!
Kila mtu abebe msalaba wake, kila mtu aamini anachotaka! Ukitaka kufuatilia sana utaacha hata kusali. Maana hali inatisha, watumishi wanajiita hadi 'Mtume wa fedha', yule nabii wa kule mwanza anjiita Nabii Malisa yeye anayo miujiza hadi ya kuwaongezea watu Salio 'tigopesa'..
Hii ndio imani Mkuu, ndio maana Kiranga yakamshinda [emoji1]
Ndo maana ht kule mbinguni alitaka kutumwa na tajiriLazaro alikuwa na utajiri gani?