Kuna mchungaji katoka wilaya moja ya Tabora kahamia hapa kwetu ameacha mke kwao sasa amewatokea wadadaaa ila mdada mmoja kamtangaza kanisani eti anataka kufunga nae ndoa akidai mkewe alishafariki...
Wana-JF hii ni ya kweli na mkewe akijua hapa si huduma za kanisa zitaharibika siku akijitokeza? Katangaza eti keshafariki wakati yupo na wana watoto wawili. Kanisa limemuamini...
Ushauri ndg,watu wa namna hii tunawafanyaje?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Gossiping & hypocrites to the high level.si ukaweke pingamizi? Mtafute mkewe umwambie; yaani vitu vingine hata si vya kuomba ushauri.
Kuna mchungaji katoka wilaya moja ya Tabora kahamia hapa kwetu ameacha mke kwao sasa amewatokea wadadaaa ila mdada mmoja kamtangaza kanisani eti anataka kufunga nae ndoa akidai mkewe alishafariki...
af kaka zako bana!
mi ndo mana Sikonge namyeyusha!mambo yebnyewe haya haya!cha kunitangazia nimekufa nini!akhu!