Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wachungaji wa siku ni matapeli tu wao kuhubiri utajiri wa fedha badala ya wokovuYesu aliposikia hayo alimwambia, Umepungukiwa na neno moja bado; viuze ulivyo navyo vyote, ukawagawanyie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha, njoo unifuate.
Lakini aliposikia hayo alihuzunika sana, maana alikuwa na mali nyingi.
Mchungaji Maboya wa huko Nairobi nchini kenya anasema:-
"Pesa ndo kila kitu aisee, asikudanganye mtu. Pesa huleta heshima mtaani. Wallet iliyojaa noti (loaded) mpaka suruali inashuka, ni heshima mtaani. Wanaume wengi wasio na pesa huongea sauti za kike, sauti lainii.Kijana mdogo akiwa na pesa anaogea sauti yake original kwa kujiamini"
Mwisho wa kunukuu.
Nini maoni yako?