Jamani hata mimi nilishtuka sn kuona Lipumba akimkumbatia Kikwete mara alipoapishwa, kweli tunao humu humu wanajifanya ni wa pinzani wa kuwatetea wadanganyika kumbe wanawamaliza kwakupitia nyuma ya mgongo, ndiyo maana tunasema CUF are not part of serious weapon especially on main Land.
Lkn mwisho wake utakuwa kama SARAFINA na Isabella, tutawatafuna tu! Freedom is coming tommorrow!