Mchungaji anaeshirikaina na mbwa mwitu kuwala kondoo

Ooops...Give me a break plz! I am hardly trying to 4get this mercy
 
Is this Lipumba!?? Funny! Hongera, inaonyesha unaijua photoshop vilivyo.
 
Jamani hata mimi nilishtuka sn kuona Lipumba akimkumbatia Kikwete mara alipoapishwa, kweli tunao humu humu wanajifanya ni wa pinzani wa kuwatetea wadanganyika kumbe wanawamaliza kwakupitia nyuma ya mgongo, ndiyo maana tunasema CUF are not part of serious weapon especially on main Land.
Lkn mwisho wake utakuwa kama SARAFINA na Isabella, tutawatafuna tu! Freedom is coming tommorrow!
 
Ahahahaaaaaah it is not me Preta.............labda ni pacha..........ngoja niwaulize wazazi huenda ndio mambo ya "Lost Twins"

oooh :doh:..........ngoja nicheck sheria za JF kuhusiana na avatars......hii haivumiliki kabisa
na huku nikizidi kumtafuta mod farida
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom