Tozeshai Kiagha
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 210
- 65
Hongera zako Mchungaji kwa kuhamia CUF,naona unafanya research kwa ajili ya andiko la PHD yako ya "Uhusiano kati ya Vyama vya Siasa na Dini" (CUF visit Uislamu)Hapo sasa ndio penyewe umefika......utakamilisha ndoto yako ya PHD.
hahahaha uzushi mtupu mchungaji gani ana jina la hivyo? kama kweli leteni jina lake kamili. Kazi kueneza udini tu
Katika mkutano wa lipumba hapa sgd mchungaji anayefahamika kwa jina la mchungaji sombi amejiunga na Cuf na kurejesha kadi ya chadema na kisha kukabidhiwa ya cuf na profesa lipumba View attachment 126108View attachment 126109 n
Hapa akirudisha kadi ya cdm View attachment 126110
Hongera zako Mchungaji kwa kuhamia CUF,naona unafanya research kwa ajili ya andiko la PHD yako ya "Uhusiano kati ya Vyama vya Siasa na Dini" (CUF visit Uislamu)Hapo sasa ndio penyewe umefika......utakamilisha ndoto yako ya PHD.
Mi huwa naamini kwamba hili kundi la akina Rejao na wengine wanaojifanya ni wanasiasa wa Ccm sio kweli kwamba ni wanasiasa hawa ni waumini wa imani kali ambao wamejikusanya kufanya kazi dhidi ya Chadema kwa imani kuwa Chadema imeipindua Cuf ambayo wao wanamini ndicho chama kinachobeba maslahi yao ya kidini.Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!
Tutabaki wenyewe wachaga na Sacos yetu.Kigoma wameikimbia na kuisusa na sasa wachungaji nao wanaiacha
Kwahiyo we ulitegemea ukute misalaba na viroba? Wachaga bhana.Nilipita hapo eneo la mkutano
niljua n sala ya ijumaa
maana niliona kanzu za wazee km hamsini ivi
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!