Mchungaji akutwa na kilo 81 za Cocaine

Mchungaji akutwa na kilo 81 za Cocaine

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,436
Serikali kupitia Kikosi Maalum cha
kupambana na dawa za Kulevya,
inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Lord
Chosen Charismatic Church lililopo Kinondoni
Biafra jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za
kukutwa na kilo 81 za COCAINE
alizokamatwa nazo nyumbani kwake
Kunduchi Mtongani jijini.
Source: www.cloudafm.co

usirushe mawe kama nyumba yako ni ya vioo...bado wanataka majina ya watumishi wa Mungun wauza unga?

Asante kwa taarifa lakini huyu mchungaji alikamatwa zaman kabla jkhajatoa tamko,then baada ya zile kelele za wachunga kondoo tukaisoma habari yake hapa........

Duh! Bado waumini wake wanaenda kanisani kumsikiliza au amepigwa ban? Kaazi kweli kweli!

duhu. wakiristo bana. ndio pesa zinazojengewa shule hizo. tutegemee nini taifa hili kama si kuzalisha mafisadi wanaozalishwa ktk seminary
Bunge limekataza majina ya wajumbe la baraza la wawakilishi wanaojishughulisha na madawa ya kulevya yasitajwe kwa kuwa na waislam: sihaba ni kwakuwa ndio wanaotoa fedha nyingi za kujengea misikiti na kuendesha mihadhara.

ukiwa na ndugu ka malaria sugu ni hasarakubwa heri kuzaliwa peke yako.

Mashule na hospital zinazomilikiwa na taasisi za kikristo huwa zina kuuma sana, napenda nikushauri 'dada' yetu kama mnaona tatizo basi nanyi jengeni basi tuone! Inaelekea umepea mafundisho ya chuki dhidi ya wakristo na ukristo na mwl wenu Ilunga!
Mtakalia kulalama wenzenu wanasonga mbele kalagabaho. MALARIA HAIKUBALIKI

duhu. wakiristo bana. ndio pesa zinazojengewa shule hizo. tutegemee nini taifa hili kama si kuzalisha mafisadi wanaozalishwa ktk seminary

Huyu Mchungaji m-Naigeria ana uhusiano gani na Polycarp Pengo? alisoma seminary ipi na wapi? Kwa nini taarifa zake hazikutolewa kabla ya maaskofu (tena toka denomination nyingine) kuomba majina ya 'wahalifu' kuwekwa hadharani? Ni kwa nini mchungaji wa kanisa la evangilical ashitakiwe kwa kiongozi wa Roman Catholic tena kwenye kwenye sherehe za kusimikwa Askofu wa kanisa/taasisi ambayo ki-mamlaka haina nguvu za kumkabili muhalifu/mchungaji muuzaji madawa ya kulevya? Hii 'open court' hearing style toka kwa Rais was it appropriate?

Serikali kupitia Kikosi Maalum cha
kupambana na dawa za Kulevya,
inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Lord
Chosen Charismatic Church lililopo Kinondoni
Biafra jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za
kukutwa na kilo 81 za COCAINE
alizokamatwa nazo nyumbani kwake
Kunduchi Mtongani jijini.
Source: www.cloudafm.co

He is a foreiger not Tanzanian, inamaana akikamatwa mchungaji kutoka amerika hapa tanzania utasema ni mtanzania? au mchungaji wa tanzania akikamatwa na madawa Uk watasema ni m-UK?

Hebu waache kutuchezea akili zetu hawa wakina Vasco Da Gama na wahuni wenzake. Waende kwanza kuwakamata wakina Chenge na Lowassa halafu waje watupe pumba nyingine

hapa naona wanajaribu kukwepa matone ya mvua

He is a foreiger not Tanzanian, inamaana akikamatwa mchungaji kutoka amerika hapa tanzania utasema ni mtanzania? au mchungaji wa tanzania akikamatwa na madawa Uk watasema ni m-UK?Hebu waache kutuchezea akili zetu hawa wakina Vasco Da Gama na wahuni wenzake. Waende kwanza kuwakamata wakina Chenge na Lowassa halafu waje watupe pumba nyingine
Kwani mimi nimesema ni mchiungaji wa kizawa aliyebambwa na unga????????????Vasco da Gama na malaria sugu wasilichafue kanisa la Tz kwa mambo yafanywayo na wageni kutoka nje.

Makanisa ni vichaka vya wahalifu., Mbona hata DECI ilikuwa miradi ya makanisa iliyowaibia waumini. Ukiristo upo mashakani leo kwani wenyemacho washajua hii ni biashara ya asubuhi. Bwana asifiwe.

Makanisa ni vichaka vya wahalifu., Mbona hata DECI ilikuwa miradi ya makanisa iliyowaibia waumini. Ukiristo upo mashakani leo kwani wenyemacho washajua hii ni biashara ya asubuhi. Bwana asifiwe.
Bwana gani asifiwe? Usikufuru, maana hasira na gadhab ya Mungu itakuwa juu yako na juu ya vizazi vyako.

Serikali kupitia Kikosi Maalum cha

kupambana na dawa za Kulevya,

inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Lord

Chosen Charismatic Church lililopo Kinondoni

Biafra jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za

kukutwa na kilo 81 za COCAINE

alizokamatwa nazo nyumbani kwake

Kunduchi Mtongani jijini.

Source: www.cloudafm.co

Hii hatari! Wanatupigisha magoti tuu sisi waumini makanisani mwao kumbe wao wana issue zao nyuma ya pazia!

Kwani mimi nimesema ni mchiungaji wa kizawa aliyebambwa na unga????????????Vasco da Gama na malaria sugu wasilichafue kanisa la Tz kwa mambo yafanywayo na wageni kutoka nje.

Kwani kanisa la tanzania lina watakatifu?
Kumbuka hio dini yenyewe tumerithi toka kwa wakoloni wetu, walioitumia kutukandamiza na kutufanya watumwa!
Dini zipo kwa ajili ya kuongoza watu tu, kiasili sisi watanzania hatuna ukristu wala uislamu.
Sishangai kwa wachungaji kukamatwa wakivunja sheria za nchi, kuabudu au kuwa mchungaji hakumzui binadamu kufanya maovu, tamaa iko pale pale.

Back
Top Bottom