Mchungaji afufuka akiwa mochwari


cheki mashavu kaa mimba ya panya
 
Duh! Pastor aonekana akiwa na kitambi na nguo kumbana. Sasa akae mkao wa kula maana fedha zitamiminika kama maji. Hako ka suti ataachana nacho very soon. Ushauri wa bure kwa "Pastor": Nunua Mic mpya na kunywa dawa za kikohozi. Mambo yako powaaa. Feza kedekede.
 
Duuu huyo mchumbajazi au mchujambazi, Ni mwehu sana deal za kizamani hizo, analeta zile za wasio na wachumba watke mbele yeye atawapatia uchumba na ndoa, sasa wanawake wameshituia hiyo kitu anaanza ya kufa na kufufuka aje afe hapa muhimbili aone cha mtema kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…