Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
People want too much...u only get few good traits in some1..
Mtu akikosa trait moja ndogo anasahau mazuri anaenda kwa mtu mpya
Asee hii tabia mbaya kweli kweli ndio maana nasema kizazi cha leo si cha watu wavumilivu kabisa
 
Well Said Brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnapigiwa Daily!
sasa hapo asingeangalia simu si angeoa garasa! Mm nampongeza sana kwa kuangalia simu na kugundua madudu mapema


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwani hata ukiangalia simu ndio huchapiwi?jidanganye hivyohivyo kama hujui wenzio wamekalili namba za wapenzi wao kuliko miaka yao waliozaliwa,mkuu tambua pia hainaga makombo na kizuri kula na wenzio


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulijuaje Mpenzi wako anamsimamo je ulimkuta Bikra??

Bila Bikra huna uhalali wa kumtetea mkeo au mpenzi wako.
 
Kwa sbb hata km ukivumilia siku akizipata anamtafta mpya...tafteni tu pesa jmn...jinsia zote..
Inategemea na mlivyoishi, siamini kama mtu ulieishi nae kwa upendo bila masimango ama style za kumcheat wakati hana pesa anaweza kuendelea kuwa na wewe akizishika noti. How you behave by the time a man needs you the most ita determine his reaction kipindi ambacho amezipata za kutosha. Tatizo wengi wanaishi na mtu akiwa hana wanamsimanga na kudanga pembeni af wanatarajia miujiza.

Wanaume tunaopenda kikweli ule muda wa kulipa fadhila huwa tupo makini nao sana, ukiwaza jinsi huyu mwanamke amekuwa a woman and a half to me, very supportive, loving and understanding naona wacha nimu wife kabisa. Wacha nimtunze vile anastahili jamani. Ma shopping, ma vacay kama yootee ani!
 
Ukimuendekeza utakufa muda si wako na kuwapa simanzi wazazi wako, rudi kwako tulia kwa muda tafuta demu maisha yaende. Muache awe na anachotaka..!
 
Pole sana mdogo wangu. Short and clear , achana naye kabisa huyu binti. Ni malaya, hata ukimuona, utatafuniwa hapo hapo kwako. Ndivyo wambulu walivyo, labda kama huwajui
 
Wataalamu wanashauri ujaribu kujiweka busy mfano free time unacheza video games kama mdau, sports etc pia usipende kukaa alone hang out na friends au ndugu, futa namba picha ondoa kitu chochote kitakachokufanta umkumbuke ukikiona. Jambo la kumshukuru Mungu ni umemgundua mapema kabla hujamuoa achana naye hakufai. It will get better in time mkuu kila la heri mkuu.
 
Dawa ya moto ni moto kama vp na ww msaliti tu hahahah utani bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…