Nyamiyaga
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 757
- 588
HahahaNilishakumbwa na mkasa kama wako, nilikuwa nawasiliana naye zaidi ya mara mia mbili kwa siku, hakuwa mchumba bali mke wa ndoa, nimeinvest kwa mke na familia yake, LAKINI hakuwa mke wangu alikuwa MKE WETU. Nimeachana naye... wewe pia achana naye tena unabahati hata hujatangaza kama ni mke. ILA ujue hakuna mwanamke wa peke yako, ukiwa unanamchumba sema mchumba wetu, ukiwa na mke sema mke wetu MWIKO kusema mchumba wangu au mke wangu nasema MWIKO!
Sent using Jamii Forums mobile app