Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

Shida ipo pale uliposema mwaka huu December ungempeleka kwenu then November ungeenda kwao. Wewe ni dhaifu sana mkuu haiwezekani uanze kwenda kwa mwanamke kujitambulisha kabla ya wewe kumpeleka kwenu akubalike.
Mchezo unaanza kwanza wewe umpeleke kwenu then ndio uende kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ndivyo ilivyo nadhani ni asili ya binadamu kutumia trust ya mtu kufanya mambo ya gizani. Mtu anaekujua vizuri ni rahisi sana kukufanyia ushenzi tofauti na mtu ambaye hujui amekuweka fungu gani.
Ni kweli kabisa na inauma sana
 
Hahah ndivyo ilivyo nadhani ni asili ya binadamu kutumia trust ya mtu kufanya mambo ya gizani. Mtu anaekujua vizuri ni rahisi sana kukufanyia ushenzi tofauti na mtu ambaye hujui amekuweka fungu gani.
Ni kweli kabisa na inauma sana
 
Halimashauri yangu ya kichwa inaniamisha kwamba asilimia 90 ya wanawake wanaolewa au kuingia kwenye mahusiano kwa sababu atanufaika kwa namna moja au nyingine na huyo mwanaume .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kila kabila lina mila na desturi zake, kwahiyo maamuzi hayo hayakua yangu binafsi ila ni utaratibu wa kikabila mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijakupa pole nikwambie tu yote umejitakia, kwanza inaonekana siri zako na plani zako zote huyo binti anazo, pili nani alikudanganya umwamini mwanamke? Pole ila umejitakia
 
Mimi naomba nikushauri hivi
Kama tu haujamuoa ameamua kukucheat bila aibu, ukimuoa je? Itakuaje? My friend don't play with woman from that tribe sii wote but kua making sana
Piga chini endelea na maisha yako usije ukajuta baadae Tena . Uchumba sio ndoa utapata mwingine mzuri na mwenye tabia njema kuliko huyo. Ur still young

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…