Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

KUNA SEHEMU UMEKOSEA WEWE! NI HAPA TU; ULIPASWA KUMGEGEDA KWA SHOW ZA KIBABE MWANZO MWISHO ILI ASIPOKUONA AONE KWAMBA KUNA SEHEMU UNA GEGEDA TENA! NILIKUWA NA MAHUSIANO NA MADEMU WA 3, NA NILIKUWA NA WAKAZA KWA STYLE ZA KINA CHARLIE MAC, KUNA SIKU WAWILI WAKANIGONGANISHA LAKINI MWENDO UKAWA ULE ULE TU, MMOJA ALILISHIA KUSEMA NILIKUPENDA MWENYEWE NIKAWA NA GONGA TU, NA SASA WAWILI WAMENITAFUTA TENA. ACHA MASIKHARA KIJANA. ANATAKA SHURUBA HUYO USIENDE NAE KIMUNGU MUNGU KWA SASA UTALIA KILA UCHWAO NA HAUTAWEZA KUMUOA KAMWE! MPE SHOW ZA KIBABE KAMA BADO UNAMPENDA

KAMA HAUMTAKI MUACHE AENDE TU, ILA UKIPATA MWINGINE MPANGO NDIYO HUO, PESA SIO KITU KWA MWANAMKE, KIPIGO NDIYO KILAKITU
Sawa sawa Boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Skia,, kwani angekuwa n mke wako tayar unadham ndo asingechepuka ,wanawake walio kwenye ndoa wanachepuka sana tu cha msingi n kuvumiliana tu ndugu ,ni vyema kujitahidi kugundua kwanza why AME cheat ,then baada ya kujua nadhan itakuwa vyema ndo utajua cha kufanya sasa hapo, kwani tuseme ukimuacha huyo utakayempata utaanimije hatokuja kuchepuka pia hatuoi kwa kuwa mtu yuko perfect 100% but angalau kidgo ,vingine hvyo vinarekebishika tu hapo
Nachoona mm n kuwa ulikosea haya:
1 . binti hujampiga show umeendekeza ulokole ,,
2.yupo mbali pia mda mrefu
3 .miaka 24 bado katoto hako pia
Fanya haya msamehe ila uwe makini kwl kwl ,pili piga show kwl kwl ,asikwambie mtu asilimia 90 % ya wanawake huchepuka xo n kitu cha kawaida tu hcho ,hata ukija kumuoa ishi nae kwa akili tu mambo n mengi ndugu ukichunguza saaana huoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubwa zangu shikamooni, vijana wenzangu habari vipi?
Ndugu zangu, nipo serious sanaa katika ombi langu, nakuomba unipe muda wa kunisikiliza kidogo na unishauri kama inafaa.

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29, ni mwajiliwa serikalini idara ya Afya. Kuna binti nilianza nae uchumba 2017 mwanzoni yeye akiwa chuo flan cha afya, Mimi ni Mgogo yeye ni Mbulu ana miaka 24 sasa.

Tulianza mapenzi akiwa ameonesha msimamo wa kutoshiriki tendo lolote na mimi mpaka mwaka mmoja ulipopita ndo tukaanza kukutana kimwili. Ni binti ambae niliona huyu anafaa kuwa mke wangu kabisaa maana alikua ana msimamo sanaa hata kwa watu wengi waliokua wakimtongoza maana alikua ananionesha sms na calls zao, bas nikawa namshauri wajibu wewe ni mke wa mtu na unahitaji heshima, kiukweli nilijipa moyo hapa nimepata mke kweli kweli.

Basi akamaliza chuo 2017 mwishoni nikamtaftia ajira ya kujishikiza mahali flani mkoa wa Mwanza. Sasa nikawa nimeongea na mtu mmoja awe anafatilia nyendo zake wakati mimi nipo mbali.

Alipotimiza miezi miwili kazini nikapata taarifa kuna kabwana mdogo ka umri wa miaka 22 - 24 kanatembea nae hapo hapo alipopanga chumba, sikutaka kuamini, ikanibidi siku moja nifanye kusadiri kwenda kumtembelea kimya kimya bila taarifa, nikafika akanipokea vizuri. Ilipofika usiku nikamwambia sasa mpenzi unaweza kunihakikishia huku huna mchezo wowote mchafu wa kimahusiano? Akanijibu hapana kabisa mpenzi wangu naomba uniamini.

Nikamuuliza, Je, unaweza kunipa simu yako nikague chochote? Akapata kigugumizi sanaaaaa, nikamuuliza Unanipenda na unajiamini? Akajibu ndio, nikamwambia bas naomba simu yako, akapata kigugumizi kizito sanaaa.

Basi ikanibidi nichukue simu yake nipitie sms na whatsap, aseee niliyoyakuta ni mazito mnooooooo wallahi Nimepata simanzi kubwa sanaaa, ikanibidi niondoke usiku huo huo kwenda kutafta Lodge nikalala na kesho nikaondoka kurudi kazini.

Mchumba wangu huyu nilikua nimeshafahamiana na ndugu zake baadhi na mama yake mzazi alikua ananijua kwa picha tu na alikua tayari karidhia niwewe mkwe wake kabla hata sijaenda kujitambulisha maana matendo niliyomfanyia mwane ni mwanaume mwenye malengo mazuri wazi wazi. Kinachoniuma zaidi ni kwamba nimetumia muda mwingi sanaaa kumjenga kiimani, kumjenga juu ya tabia za wanaume wenye tamaa, kiukweli niliamini huyu mwanamke sasa hakuna atakae weza kumshawishi maana hata mimi binafsi nilikua nimebadilika sanaaa kitabia sikuwa nnahamu na michepuko tena niliona sasa huu ni muda wa kutulia na mwanamke mmoja sina haja ya kutanga tanga na dunia ya leo.

Ndugu zangu niko serious sanaaa, naombeni ushauri cha kufanya, mwanamke huyu alikua anatembea na kijana wa mwenye nyumba tena kwa kulala nae chumbani kwake karibu kila wiki.

Mwanamke alionesha sanaaa kunipenda tulikua tunawasiliana kila siku zaidi ya mara 5 kila siku ya Mungu. Leo naona dunia imenigeuka, nina maumivu makali sanaaaa, niliplan nije kumtambulisha kwetu mwaka huu December, na kwao ningeenda kujitambulisha November ili mwakani Mungu akijaalia tufunge Ndoa. Wakuu, niko gizani, nina msongo wa mawazo, mimi ni jasiri sanaaa lakini nakuomba wewe ndugu yangu ushauri wako katika hili, nakuomba usinitukane wala kunikejeli maana utaniongezea majonzi makubwa.

Naamini thread yangu hii itawafunza na wengine watakao kumbwa na mkasa kama wangu.
ASANTE kwa Muda wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiogope vilungu, you will never be stronger, namna hiyo, kwanza kubari kuwa uko very weak! Ushasema mwanamke wa chuo, tena ni distance kutoka unapo ishi! Mimi mkomavu nakushauri sasa, usije weka imani kwa 100 percent, kwa kiumbe aitwae mwanamke,mwisho wa siku utadondosha michozi, kitu ambacho kitakufanya uvunje principle ya kuitwa mwanaume, cha kufanya uyo mchumba sukuma nje ya maisha yako, fukuza, hajitambui, na ukioa ndio atazidi kukusaliti bora umeyaona hayo kwenye uchumba, kaza moyo wanawake wapo wengi sana,walio tulia, acha kuwafadhili hao,ni bora kufuga mbuzi na kuku kuliko kupeleka hela zako kwa mchumba! Mifugo ikikuzingua unaweza chinja ukalia ugari au wali nazi, ! Mwanamke utaambulia machozi na fedhea mkuu,
 
Wakubwa zangu shikamooni, vijana wenzangu habari vipi?
Ndugu zangu, nipo serious sanaa katika ombi langu, nakuomba unipe muda wa kunisikiliza kidogo na unishauri kama inafaa.

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29, ni mwajiliwa serikalini idara ya Afya. Kuna binti nilianza nae uchumba 2017 mwanzoni yeye akiwa chuo flan cha afya, Mimi ni Mgogo yeye ni Mbulu ana miaka 24 sasa.

Tulianza mapenzi akiwa ameonesha msimamo wa kutoshiriki tendo lolote na mimi mpaka mwaka mmoja ulipopita ndo tukaanza kukutana kimwili. Ni binti ambae niliona huyu anafaa kuwa mke wangu kabisaa maana alikua ana msimamo sanaa hata kwa watu wengi waliokua wakimtongoza maana alikua ananionesha sms na calls zao, bas nikawa namshauri wajibu wewe ni mke wa mtu na unahitaji heshima, kiukweli nilijipa moyo hapa nimepata mke kweli kweli.

Basi akamaliza chuo 2017 mwishoni nikamtaftia ajira ya kujishikiza mahali flani mkoa wa Mwanza. Sasa nikawa nimeongea na mtu mmoja awe anafatilia nyendo zake wakati mimi nipo mbali.

Alipotimiza miezi miwili kazini nikapata taarifa kuna kabwana mdogo ka umri wa miaka 22 - 24 kanatembea nae hapo hapo alipopanga chumba, sikutaka kuamini, ikanibidi siku moja nifanye kusadiri kwenda kumtembelea kimya kimya bila taarifa, nikafika akanipokea vizuri. Ilipofika usiku nikamwambia sasa mpenzi unaweza kunihakikishia huku huna mchezo wowote mchafu wa kimahusiano? Akanijibu hapana kabisa mpenzi wangu naomba uniamini.

Nikamuuliza, Je, unaweza kunipa simu yako nikague chochote? Akapata kigugumizi sanaaaaa, nikamuuliza Unanipenda na unajiamini? Akajibu ndio, nikamwambia bas naomba simu yako, akapata kigugumizi kizito sanaaa.

Basi ikanibidi nichukue simu yake nipitie sms na whatsap, aseee niliyoyakuta ni mazito mnooooooo wallahi Nimepata simanzi kubwa sanaaa, ikanibidi niondoke usiku huo huo kwenda kutafta Lodge nikalala na kesho nikaondoka kurudi kazini.

Mchumba wangu huyu nilikua nimeshafahamiana na ndugu zake baadhi na mama yake mzazi alikua ananijua kwa picha tu na alikua tayari karidhia niwewe mkwe wake kabla hata sijaenda kujitambulisha maana matendo niliyomfanyia mwane ni mwanaume mwenye malengo mazuri wazi wazi. Kinachoniuma zaidi ni kwamba nimetumia muda mwingi sanaaa kumjenga kiimani, kumjenga juu ya tabia za wanaume wenye tamaa, kiukweli niliamini huyu mwanamke sasa hakuna atakae weza kumshawishi maana hata mimi binafsi nilikua nimebadilika sanaaa kitabia sikuwa nnahamu na michepuko tena niliona sasa huu ni muda wa kutulia na mwanamke mmoja sina haja ya kutanga tanga na dunia ya leo.

Ndugu zangu niko serious sanaaa, naombeni ushauri cha kufanya, mwanamke huyu alikua anatembea na kijana wa mwenye nyumba tena kwa kulala nae chumbani kwake karibu kila wiki.

Mwanamke alionesha sanaaa kunipenda tulikua tunawasiliana kila siku zaidi ya mara 5 kila siku ya Mungu. Leo naona dunia imenigeuka, nina maumivu makali sanaaaa, niliplan nije kumtambulisha kwetu mwaka huu December, na kwao ningeenda kujitambulisha November ili mwakani Mungu akijaalia tufunge Ndoa. Wakuu, niko gizani, nina msongo wa mawazo, mimi ni jasiri sanaaa lakini nakuomba wewe ndugu yangu ushauri wako katika hili, nakuomba usinitukane wala kunikejeli maana utaniongezea majonzi makubwa.

Naamini thread yangu hii itawafunza na wengine watakao kumbwa na mkasa kama wangu.
ASANTE kwa Muda wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishakumbwa na mkasa kama wako, nilikuwa nawasiliana naye zaidi ya mara mia mbili kwa siku, hakuwa mchumba bali mke wa ndoa, nimeinvest kwa mke na familia yake, LAKINI hakuwa mke wangu alikuwa MKE WETU. Nimeachana naye... wewe pia achana naye tena unabahati hata hujatangaza kama ni mke. ILA ujue hakuna mwanamke wa peke yako, ukiwa unanamchumba sema mchumba wetu, ukiwa na mke sema mke wetu MWIKO kusema mchumba wangu au mke wangu nasema MWIKO!
 
Inaonekana Yalikukuta makubwa mkuuu Pole sanaa jombaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Skia,, kwani angekuwa n mke wako tayar unadham ndo asingechepuka ,wanawake walio kwenye ndoa wanachepuka sana tu cha msingi n kuvumiliana tu ndugu ,ni vyema kujitahidi kugundua kwanza why AME cheat ,then baada ya kujua nadhan itakuwa vyema ndo utajua cha kufanya sasa hapo, kwani tuseme ukimuacha huyo utakayempata utaanimije hatokuja kuchepuka pia hatuoi kwa kuwa mtu yuko perfect 100% but angalau kidgo ,vingine hvyo vinarekebishika tu hapo
Nachoona mm n kuwa ulikosea haya:
1 . binti hujampiga show umeendekeza ulokole ,,
2.yupo mbali pia mda mrefu
3 .miaka 24 bado katoto hako pia
Fanya haya msamehe ila uwe makini kwl kwl ,pili piga show kwl kwl ,asikwambie mtu asilimia 90 % ya wanawake huchepuka xo n kitu cha kawaida tu hcho ,hata ukija kumuoa ishi nae kwa akili tu mambo n mengi ndugu ukichunguza saaana huoi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru sanaa mzee wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishakumbwa na mkasa kama wako, nilikuwa nawasiliana naye zaidi ya mara mia mbili kwa siku, hakuwa mchumba bali mke wa ndoa, nimeinvest kwa mke na familia yake, LAKINI hakuwa mke wangu alikuwa MKE WETU. Nimeachana naye... wewe pia achana naye tena unabahati hata hujatangaza kama ni mke. ILA ujue hakuna mwanamke wa peke yako, ukiwa unanamchumba sema mchumba wetu, ukiwa na mke sema mke wetu MWIKO kusema mchumba wangu au mke wangu nasema MWIKO!
hapana, mke anatakiwa awe wako! acha kukiri udhaifu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom