nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
kile bei utayopanda mi ntakua naongezea apo buku mbiliMunkari
Mi naweza kupanda bei....
kile bei utayopanda mi ntakua naongezea apo buku mbili
Hakupendi ila kuna kitu anataka kwako ndio maana anazuga kulia, Mkuu kuna mtu anapendwa hapo sio wewe.nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
mmmmh!cna la kuxema