mchumba wako hapendi mapicha..tafuta rafiki wa kike ujaze mipicha yake kwenye sim yako..tena mipicha iwe na mautundu kidogo...zingine weka profile pictures na zingine weka kwenye timeline yako na umsifie huyo mdada kabisa..kisha katiza interest ya mchumba wako kidogo hata hizo picha zake usimuombe tena...atalainika ndani ya siku moja...usisahau kuleta mrejesho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.