Mchumba wangu anakiburi, simuelewi

Mimi nitamuacha mwanamke kama ni mzinzi au mshirika lakini kumuacha eti ana kiburi sifanyi upumbavu huo. Wanawake wengine viburi wanazaliwa navyo cha msingi ni jinsi gani unaendana na hali hiyo
Mjomba wangu ashaniambia hii kitu. Thus I a second you.
 
Mkuuu piga chin kashapta iyooo
 
Sorry lakini ntakua straight foward, Huyo Mwanamke Anakudharau na ni kwa sababu Umemuendekeza. Mwanamke anaekutukana matusi obviously hakuheshimu kama Mwanaume wake na hapo hamna mapenzi ya kweli, Mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukutukana hata siku moja nadhani hii iko wazi kabisa.

Inawezekana anakutafuta tena kila unapoamua kumuacha kwa sababu zingine labda huduma ya hela n.k kwa sababu anajua mkiachana kabisa atapoteza hiyo nafasi, baadhi ya wanawake ni wajanja sana.

Ninachoamini:
Kuna uwezekano ana mtu flani pembeni na wewe anakutumia tu kwa shida zake kwa kukuaminisha bado anakupenda.Ukiendelea kuwa goigoi ipo siku utamkuta kapakatwa na atakutambulisha kwa Shemeji yako. Jithamini
 
Mpe likizo.,kwanza
 
Ushasema ana kiburi sasa.
Humuelewi nini ?
Pia katika maelezo yako umesema unampenda sasa kama unampenda komaa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…