Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,026
- 23,377
Teh teh teh........"Habari ya kumuacha ni matumizi mabaya ya rasilimali wanawake". Isee!Kiburi ni kiburi tu hata kiwe cha aina gani. Kabla ya kudeal na mwenye kiburi unatakiwa kufanya kautafiti kwanza kujua kiburi chake kinatokana na nini? Habari ya kumuacha mwanamke eti ana kiburi ni matumizi mabaya ya rasimali wanawake
Kama unampenda na yeye anakupenda, mwambie aache kiburi muende sawaHabari za leo ndugu zangu wana JF,
Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,
Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.
Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe
Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
Kuna kitu anakosa kwako mkuu. Halafu nje anapewa na mtu mwingine. Fuatilia njia za mpenz wako.....Habari za leo ndugu zangu wana JF,
Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,
Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.
Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe
Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
Ahsante mamii.[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Inawezekana hapo ndio kaficha makucha mkuu, sasa akijakuyaachia je?Hapa naweza kusema huyo demu anafaa sana kuolewa na wewe. Nitaeleza:
Kwanza ana mapenzi ya dhati kwako, ndiyo maana mkigombana anakuwa wa kwanza "kukuangukia". Pili, hata ukimuweka ndani mwako hatakusumbua,kwa sababu mtakuwa mnafahamiana tabia.
Kuliko wachumba wengi, linapofika suala la kuolewa hufanya wawezavyo kuficha tabia zao ovu.
Mkishaoana,ndiyo tabia za ajabuajabu zinaanza kufumuka! Hali hiyo imepelekea ndoa nyingi kusambaratika muda mfupi baada ya kufungwa.
Asikwambie mtu, jichange uoe huyo demu, atakufaa. Tatizo lake mchumbaako ni dogo sana, anarekebishika. Hakuna ndoa isiyokuwa na vikwazo vyake.
Robot za mambo yetu yale zinakuja watanyooka tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]Habari za leo ndugu zangu wana JF,
Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,
Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.
Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe
Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
Broo daaaah hahaaahaNi mtamu?
Tuanzie hapo kwanza.
Aisee kweli watu awabadililiki labda tu Mungu aingilie, nime experience Sana Hii kituPiga chini kama kuna kitu kikubwa nimejifunza ni kwamba people dont change mkuu, si baada ya ndoa si baada ya nin, je upo tayari kuishi maisha yako yote na mtu wa hivyo?
9 outta 10 ukitukanwa na mwanamke yeyote yule, mpenzi ama sio, ni makosa yako.
MAWINGU NI DALILI YA MVUAHabari za leo ndugu zangu wana JF,
Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,
Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.
Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe
Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
Wee mpo hivyo kuna mmoja rafiki yangu ana mdate anasema demu haeleweki wakiwa wote fresh ila wakiachana tu ni kama hawajuaniWakurya hatupo hivyo plz[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]