Asikwambie mtu, jichange uoe huyo demu, atakufaa. Tatizo lake mchumbaako ni dogo sana, anarekebishika. Hakuna ndoa isiyokuwa na vikwazo vyake.
Kuna wanawake wana viburi vyenye kiwango cha lami usiombe kukutana nao aseeMimi nitamuacha mwanamke kama ni mzinzi au mshirika lakini kumuacha eti ana kiburi sifanyi upumbavu huo. Wanawake wengine viburi wanazaliwa navyo cha msingi ni jinsi gani unaendana na hali hiyo
wewe ukiwa mmoja wapo, ila nakuahidi nikikutana na wewe kiburi kitakuisha.Kuna wanawake wana viburi vyenye kiwango cha lami usiombe kukutana nao asee
sawa kabisa,achukuliwe kama alivyo mambo ya kumrekebisha mtu ni kutotendeana haki,mtu anatakiwa ajirekebishe mwenyewe,ingawa waweza kumweleza kwamba hivi na hivi si vizuri.Hili ndo kosa kubwa kabisa wanaume huwa tunakosea na ndo linalogharimu ndoa nyingi.
Kama mchumba wako ana mapungufu usiwaze kumrekebisha maana ni moja ya kazi ngumu sana, na wengi wanaposhindwa kurekebisha kama walivyotegemea ndo matatizo yanapoanzia. Kinachotakiwa ni kuikubali weakness na kuvumilia na kama atajirekebisha basi itokee kwa mapenzi yake mhusika.
Kuna wanawake wana viburi vyenye kiwango cha lami usiombe kukutana nao asee
Mupo hivo, sasa unakataa nini?Wakurya hatupo hivyo plz[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Okay Inawezekana kinavumilika ila mmmh yataka moyo tena moyo wenye damu ya kutoshaKiburi ni kiburi tu hata kiwe cha aina gani. Kabla ya kudeal na mwenye kiburi unatakiwa kufanya kautafiti kwanza kujua kiburi chake kinatokana na nini? Habari ya kumuacha mwanamke eti ana kiburi ni matumizi mabaya ya rasimali wanawake
Mattako yakowewe ukiwa mmoja wapo, ila nakuahidi nikikutana na wewe kiburi kitakuisha.
Mattako yako
Mimi nafikiri amsomeshe mpaka ahitimu ndio amuoe mazima au vipi mamii.Hebu muoe mtoto wa watu yani miaka mitatu uchumba gani huo?
Daah Joanah,na mimi naomba unirushie huto tuemeoji emoji emoji tafadhali.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
I [emoji179] you
Hahahahaha halafu?Ni mtamu?
Tuanzie hapo kwanza.
Hahahahaha halafu?
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Daah Joanah,na mimi naomba unirushie huto tuemeoji emoji emoji tafadhali.