Wakurya hatupo hivyo plz[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Bila shaka atakua demu kutoka chuga au mkurya......usimdekeze alafu mpe onyo heavy
Hujamjibu bhachuAsante mkuu
Hahahahhaa hatariiiiii sanaaaaaaaa [emoji12] [emoji12] [emoji125]Mimi nitamuacha mwanamke kama ni mzinzi au mshirika lakini kumuacha eti ana kiburi sifanyi upumbavu huo. Wanawake wengine viburi wanazaliwa navyo cha msingi ni jinsi gani unaendana na hali hiyo
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hapa naweza kusema huyo demu anafaa sana kuolewa na wewe. Nitaeleza:
Kwanza ana mapenzi ya dhati kwako, ndiyo maana mkigombana anakuwa wa kwanza "kukuangukia". Pili, hata ukimuweka ndani mwako hatakusumbua,kwa sababu mtakuwa mnafahamiana tabia.
Kuliko wachumba wengi, linapofika suala la kuolewa hufanya wawezavyo kuficha tabia zao ovu.
Mkishaoana,ndiyo tabia za ajabuajabu zinaanza kufumuka! Hali hiyo imepelekea ndoa nyingi kusambaratika muda mfupi baada ya kufungwa.
Asikwambie mtu, jichange uoe huyo demu, atakufaa. Tatizo lake mchumbaako ni dogo sana, anarekebishika. Hakuna ndoa isiyokuwa na vikwazo vyake.
Kwani ww ni demu wa kikurya?Wakurya hatupo hivyo plz[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Naomba nitukane leo mr admistrator[emoji16] [emoji16] [emoji16] (1)Kwani ww ni demu wa kikurya?