Mchumba wangu anahitajika kuolewa

Mchumba wangu anahitajika kuolewa

Uchumba wa vichochoroni?! Una umri gani mdogo wangu?
 
Wacha tu wamwoe. Yan una kibarua halafu unakosa godoro la shilingi elfu hamsini, unashindwa kupanga chumba cha shilingi elfu ishirini kwa mwezi? Mimi ninachojua kazi nyingi kima cha chini sio chini ya laki mbili. Ela zako wewe unazipeleka wapi unaishia kuwa kula kulala? Unampotezea timing tu mtoto wa watu!
 
Tafuta kwanzaa hela kijana mwenzangu, wekeza kwanza vya kutosha mapenzi yapo na kuoa kupo. Kamwe usiharakishe mambo kwa kuusikiza sana moyo utajiaribia future yako, jitosheleze kwanza vya kutosha ili familia utakayoileta ije iishi vyema.

Anza kupanga muda wa kukaa kwa wazaz umeisha kama unafanya kazi nunua kitu kimoja kimoja na usiweke nyumbani vilipie dukani na uviache mpaka utakapokuwa tayar kuchukua Nb yawe maduka rafiki na aminifu.
 
haina tabu mkuu
 
ckuhitaj hela mkuu ni msada wa mawazo tu ungetosha sana.so kunionea huruma kwake m kuna affect gan?
kama unahitaji msaada wa mawazo mwambie akubali kuolewa itakuwa dawa tosha utapata mawazo mengi hadi ukome
 
Si kukurupuka nyie Ndio mnaopotezea muda mabinti wa watu ni dhahiri huna uwezo wa kumuoa la sivyo utaomba michango hadi jf baada ya Hapo maisha ya shida binti anaanza kujuta unaanza kuchapiwa,usiruke stage jiweke sawa kwanza unaonekana bado hujapevuka kwa kitendo cha kuishi kwa wazazi.

pole yako tena
 
kama anakupenda uyo mwanamke utamuoa ww tu wala usiogope mkuu.
 
Wacha tu wamwoe. Yan una kibarua halafu unakosa godoro la shilingi elfu hamsini, unashindwa kupanga chumba cha shilingi elfu ishirini kwa mwezi? Mimi ninachojua kazi nyingi kima cha chini sio chini ya laki mbili. Ela zako wewe unazipeleka wapi unaishia kuwa kula kulala? Unampotezea timing tu mtoto wa watu!

nmeshangaa godoro la 3×6 chumba cha uswahilini ambacho hakina umeme 15,000/ kashindwa huyp dada aolewe tu fasta
 
Sasa utamlea vp ukishamuoa? Maisha ya sasa ya ndoa ni sawa na gari linalotembea namaanisha gari yenye mafuta. Sasa wewe ni gari isiyo na mafuta kweli utaweza kuendesha ndoa?.

Ushauri wangu jipange uende kwa wazaz wake ukajieleze kuwa unapenda bint yao ili wakupe muda kidogo utafute pesa ya mahali. Pia ww mwenyewe ujipange jinsi utakavyoendesha ndoa. Ndoa si lele mama na ukishaoa jua kuwa mtoto atapatikana je? Utaweza?. Nenda kwao pia jipange siku zote mwanaume hashindwi kitu.
 
You may not be her LAST,her FIRST,or her ONLY,she loved before she may love again
IF she is loved by someone now what else matters!!!!!!!!!
USILALAMIKE,Wazazi wake wameona huna mwelekeo,WAHI FASTA,PELEKA POSA!!Vijana wengi mnataka kuwaweka wasichana wa watu UCHUMBA kwa MUONGO mzima!!Kisha unampiga CHINI!!
 
Ucforce mambo kijana madem wapo wengi na wakali kama hujajipanga kimaisha ucjidanganye kumuona wenye pesa watakutunzia then utakuwa kwa presha bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom