Kuish na mwanamke anayekuzid sana kipato inahitaji umuheshimu.usingemropokea ungetumia lugha nzur tu kumuelimisha.
But ipo siku atakumbuka tu baada ya huyo jamaa kumtenda bcz loyal men are very difficult to find.
tafuta pesa, reseat form four, kasome 5 na 6 evening programme, faulu, jiandikishe chuo kikuu huria soma degree, tafuta hela tena ,tafuta mke material oa
Unabahati ya mtende kwani ungejiingiza kwenye ndoa angekusumbua hadi ungekufa kwa pressure wakati umri wako ni mdogo. Dunia ni pana pengine kuna mke mwema anakungojea.