Mchumba wa rafiki yangu

ni bora nguvu ziishe kila mahali, but NOT THAT SECTOR! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mmhh!
 
.....ili mwisho wa siku usije onekana ni mnafiki kwa rafiki yako, muite na umwambie ukweli huku ukitumia hekima sana kuwasilisha shutma hizo...hii ni kama kweli unamjali huyo rafiki yako...hapo aje kuamua mwenyewe kuhusiana na ishu hiyo...fanya haraka!
 
hebu ajaribu mkuyati huenda ikasaidia na supu ya pweza pia.
 
Kama Unafki kama kweli jamaa Mshikaji Mwite Mwambie Ndugu nasikia Dudu Halisimami ..afanye. Bidii apate tiba. Problem solved

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ni bora nguvu ziishe kila mahali, but NOT THAT SECTOR! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mmhh!

kumbe haka ka-sector ni muhimu sana eeeh... hivi spouse wako akipata ajali au tatizo lingine akashindwa ku-perform, utafanyaje?
 

Kilichokutokea kinafanana na killichonitokea mimi. Girlfriend wa rafiki yangu kaniambia kuwa siku zote yupo na jamaa lakini hawajawahi kufanya chochote. Mashine ikichajishwa inachaji kiasi na ikiingizwa kuchimba kisima inazimika ghafla. Kwa kweli sikuamini kwa jinsi jamaa yangu ambavyo huwa anajisifia. Nimepewa hizo habari kama wiki moja iliyopita wakati wote huu najifikiria jinsi ya kumuingia huyo rafiki yangu na kumshauri nimpeleke hospitali. Kwa hiyo naifatilia kwa makini hii mada ili nione jinsi ya kumsaidia bila yeye kujua kuwa girlfriend wake ndiye aliyeniambia kwani wanaweza kugombana kwa kumtolea siri yake.
 
yaani mkuu hapo umenena...mimi mitaani napo ishi..huwa na utaratibu wa kutembea hadi stendi kupanda gari,round ndogondogo...mfano kutoka savei hadi mwenge kutoka mwenge hadi ubungo...marafiki zangu hua wananizomea wananimbia eti elimu yangu niliyosoma hainisaidii...eti kwanini nisinunue gari wakati nina kazi nzuri kuliko kuhangaika na daladala..kutoka jasho....sometimes wakija nyumbani wananimbia eti niache kula ugali wa donna...eti maharage ni kula chakula cha watu waliochoka....."KUMBE WANASAHAU KWAMBA YOUR ARE WHAT YOU EAT..."
kila siku my sweetheart ananivuta tukalale wote...kwasababu ya kazi nzuri nayofanya....dimbani sita kwa sita..WANAUME WENZANGU TUBADILIKE KARIBUNI UGALI WA DONNA...NA MAHARAGE...KWA BREAKFAST ISINDIKIZE KWA CHAI YA TANGAWIZI NA TIKITIKI MAJI...
 
kazi kweli kweli, sa kaja kukwambia wewe ni Daktari au?na km anania ya kusaidiwa kwanini aondoke tu ghafla mezani na chakula kaacha? huyo nyege tu, hana lolote!
 
Mwambie amlazimishe kwenda nae hosp lasivyo avunje uhusiano
 

Ni shiiida kaka. Unakutana na kijana mtanashati ana pesa lakini chini hamna kitu. sijui ni nini hiki. Huyo jamaa yangu ni kweli ana matatizo, watu wameshaprove kuwa haisimami vizuri, inakua kama huyo jamaa yako, na huwa akichukua demu akitoka naye kwenda out huwa anajifanyaga amelewa mpaka ajielewi ili tu amtoroke. Na ikifanikiwa akaenda nae kwake huwa anajifanya kalewa chakari analala fofofo.
 

Haya majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…