trojan92 Senior Member Joined May 18, 2024 Posts 106 Reaction score 293 Sep 1, 2024 #1 Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa? Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza nae mahusiano na baadae ndoa?
Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa? Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza nae mahusiano na baadae ndoa?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,568 Reaction score 89,201 Sep 1, 2024 #2 Haitabiriki weka tangazo hata humu utampata,ni kama kubeti tu popote unaweza kumpata!.
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,017 Sep 1, 2024 #3 popote pale hata kituo cha polisi
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,747 Reaction score 14,956 Sep 1, 2024 #4 Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani.
Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,980 Reaction score 121,066 Sep 1, 2024 #5 Gentlemen_ said: Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani. Click to expand... Uzi uishie hapa tafadhali.
Gentlemen_ said: Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani. Click to expand... Uzi uishie hapa tafadhali.
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,678 Reaction score 7,287 Sep 1, 2024 #6 asante kwa taarifa
B Brelim Skoro_ JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,884 Reaction score 37,082 Sep 1, 2024 #7 "Jf chit: Mchezo wa kutafuta mchumba"
Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 3,173 Reaction score 5,481 Sep 1, 2024 #8 Unampata Chuo