Natafuta mchumba - Mwanamke ambaye Ana uhitaji Kama Mimi. Mie Ni mkristo wa Romani , Nina miaka 35, mwajiriwa, elimu-chuo Kikuu. Mwanamke ninaye muhitajia awe na sifa zifuatazo: Awe na uhitaji wa Mume / maisha ya ndoa, umri kuanzia miaka 25 hadi 30, Dini yeyote ile , awe mweupe au Maji ya kunde, awe na kijungu cha kutosha cha kuvutia, asiwe mwembamba/flat screen, Kabila lolote lile, awe na TRUE LOVE! Elimu kuanzia Diploma na kuendelea hadi Masters! Awe mpenda maendeleo ! Aliye tayari KARIBU PM! Moderator natumia simu so you can edit the content/spacing not otherwise! THANK YOU!