Upo wap jameni tuanze safar ya matumaini maana vigezo vyote ninavyoHello!
Habari za wakati huu wapendwa.
Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka Ndoa.
Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa kiislam mwenye hofu na mungu, Age kuanzia 28-35, Elimu at least awe University graduate mwenye kujitambua, awe amejiriwa au amejiajiri.
Inshort kuhusu mimi ni binti wa kiislam, Umri wangu ni miaka 26. Currently nafanya kazi sehemu part-time na ni mwanafunzi pia(Third year).
Kuna mengi kuhusu mie lakini yote siwezi kuyaweka kwenye uzi huu.
Kama utakuwa interested Karibu PM kwa maelezo na kujuana zaidi.
Asante.
Nitafte pm tuelewane hajatiKtk orodha yako ya vigezo ni elimu tuu imenifanya kutotimiza matakwa yako.
Ila kama upo serious nicheki pm,
Na kama haukuridhika kisa kutokizi elimu basi nakutakia kila la kheri katika kumtafuta umpendae....
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nitafte pm tuelewane hajati
duuh this is personal.....gues u are having a bad dayDuh kwa sifa izo sidhani kama utapata mchumba hv kwa akili yako eti mtu asome hadi chuo kikuu asipate mchumba aje akuoe ww ambae umesoma chuo hujapata mchumba utaishia kipigwa miti na kuachwa na utazaa mtoto asiekuwa na baba
Unaelewa maana ya 'Graduate'?Ajasema masters
Kwangu vigezo nimekidhi nipm baada ya mfungo baby.Hello!
Habari za wakati huu wapendwa,
Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka ndoa.
Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa kiislam mwenye hofu na Mungu, Age kuanzia 28-35, Elimu at least awe University graduate mwenye kujitambua, awe ameajiriwa au amejiajiri.
Inshort kuhusu mimi ni binti wa kiislam, umri wangu ni miaka 26. Currently nafanya kazi sehemu part-time na ni mwanafunzi pia(Third year).
Kuna mengi kuhusu mimi lakini yote siwezi kuyaweka kwenye uzi huu. Kama utakuwa interested karibu PM kwa maelezo na kujuana zaidi.
Asante.
Hatarii hiiNitafte pm tuelewane hajati
Maalimu huyo kijana anakutakia mema kweri kasema u pmKtk orodha yako ya vigezo ni elimu tuu imenifanya kutotimiza matakwa yako.
Ila kama upo serious nicheki pm,
Na kama haukuridhika kisa kutokizi elimu basi nakutakia kila la kheri katika kumtafuta umpendae....
INAONEKANA UNA SURA MBAYA MPAKA WAJA TAFUTA MIDUME HUKUHello!
Habari za wakati huu wapendwa,
Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka ndoa.
Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa kiislam mwenye hofu na Mungu, Age kuanzia 28-35, Elimu at least awe University graduate mwenye kujitambua, awe ameajiriwa au amejiajiri.
Inshort kuhusu mimi ni binti wa kiislam, umri wangu ni miaka 26. Currently nafanya kazi sehemu part-time na ni mwanafunzi pia(Third year).
Kuna mengi kuhusu mimi lakini yote siwezi kuyaweka kwenye uzi huu. Kama utakuwa interested karibu PM kwa maelezo na kujuana zaidi.
Asante.
Tatizo lipo wapi Bibie...!Hatarii hii
seriously au ulikosea quote
Maalimu huyo kijana anakutakia mema kweri kasema u pm
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]