Mchumba, Mchumba mchumba

Mchumba, Mchumba mchumba

shimwemwe

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
65
Reaction score
2
hellow, mm ni me natafuta mchumba wa kike.

sifa zangu;
umri wangu ni miaka 35,ni mfanyakazi naishi nzega,mrefu,mweusi kiasi.

sifa za nimtakae
awe mkristo,elimu kuanzia kidato cha nne,umri miaka 25-30. Haijalishi hata kama hana kazi maana uwezo wa kumtunza ninao.
Kwa walio serious,tafadhali nicheck kwa pm kwa mawasiliano ya awali.
 
hakika Nyakati za mwisho zitaambatana na matukio mengi ya kutisha na kuogofya kama yatokeyo kipindi hiki, eee mola waokoe madomo zege / vibogoyo wa tz kutoka midomoni mwa mamba wala watu. yaani mwanaume unashindwa kutongoza wakati kiasili ni wajibu wako , xaxa wewe jamaa hata "popo" wamekushinda? na wakikupigia "goma" lako huwa ndo mnakuwa wa kwanza kulia lia hapa ,oooh walimwengu wabaya. kaza buti hata kama domo zege sikumoja utafanikiwa hata kama uki dingi"u- shaibu'unakunyemelea
 
Mungu atakusaidia utampata mwenzio wa maisha iwe humu jamvini au hata uko mtaani waliko ambao ndio hawa hawa walioko humu jamvini, usikatishwe tamaa na watu wa hovyo hovyo waliomo huku kwani vichaa kila sehemu wapo.
 
hakika Nyakati za mwisho zitaambatana na matukio mengi ya kutisha na kuogofya kama yatokeyo kipindi hiki, eee mola waokoe madomo zege / vibogoyo wa tz kutoka midomoni mwa mamba wala watu. yaani mwanaume unashindwa kutongoza wakati kiasili ni wajibu wako , xaxa wewe jamaa hata "popo" wamekushinda? na wakikupigia "goma" lako huwa ndo mnakuwa wa kwanza kulia lia hapa ,oooh walimwengu wabaya. kaza buti hata kama domo zege sikumoja utafanikiwa hata kama uki dingi"u- shaibu'unakunyemelea

wewe unaejua kutongoza mfundishe basi huyu asiejua?watu kujua bana!!!!!!!!!!!!!!! mbwembwe kibao wakati huyo demu uliye nae sasa hivi si ajabu umetongozewa na rafiki.
 
asante ndugu maana watu kuona njia yangu mbona mafanikio yapo, mi namkaribisha yoyote.
wewe unaejua kutongoza
mfundishe basi huyu asiejua?watu kujua bana!!!!!!!!!!!!!!! mbwembwe
kibao wakati huyo demu uliye nae sasa hivi si ajabu umetongozewa na
rafiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom