Mchumba kapatikana

kidaganda

JF-Expert Member
Aug 26, 2013
2,995
2,572
e0aab84b8e2479d1638e60420299dbdf.jpg
 
Ukisikia punguzo kuuubwa kabisa ndo hili, ng'ombe 68 mpaka ng'ombe mmoja... Kiboko!
 
  • Thanks
Reactions: wax
Hivi siku hiz watoto wa kike ni dili??
Ukitaka kupata jibu kwanza jiulize kwa nini siku hizi single mothers ni wengi kuliko zamani?
Maadili ya wanawake yemezidi kuporomoko siku hadi siku...
Kutafuta na kupata mke mwenye sifa siku hizi ni kazi kubwa mnooooo...
Mbaya zaidi utandawazi umefika mpaka vijijini huko...
Tabu tupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom