Mchumba kanipiga mbata wapendwa

Good....ningemjua mchumbako ningempa zawadi
 
Mzee wa mbata! Hahaaa. Huyo amejidisqo mwenyewe. Tafuta mwingine asiyepiga mbata, za huyo zitakuua, definetely. Napendekeza miss chagga awe wako, nahisi hana mbata nyingi... ni wazo tuuu
 
sasa dawa yake nini mkuu.

dawa yake

usipokee simu yake wala kujibu sms zake

usimtafute akikuuliza mwambie upo busy mpaka busy inaogopa

Kumbuka dawa kubwa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie
 
dawa yake

usipokee simu yake wala kujibu sms zake

usimtafute akikuuliza mwambie upo busy mpaka busy inaogopa

Kumbuka dawa kubwa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie

Mkuu, nilishawahi kusema hata mimi, dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie tu.
 
Mzee wa mbata! Hahaaa. Huyo amejidisqo mwenyewe. Tafuta mwingine asiyepiga mbata, za huyo zitakuua, definetely. Napendekeza miss chagga awe wako, nahisi hana mbata nyingi... ni wazo tuuu

huyo pesa mbele sana.
 
Hvi darasa la nne wameshamaliza mitihani yao eeh?
 
alipaswa kukupa "kelebu" za ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…