mnatumia uzazi wa mpango? Mna conflict zozote? Umekuwa monotonous huna ubunifu wa vitu vipya ndani ya nyumba, hata kubadili carpet na mapazia ni change!? Unamtegemea yeye sikuzote alianzishe au mnafanyiana timing? Ok Changamka, mchukuleie kama yule binti uliyekuwa unamtaka na akawa hakupi na mgumu we komaa, kama unampenda na una nia nae, kuwa mbunifu, jifanye ndio umemuona mara ya kwanza anza kutumia mautundu ya kumpata ikiwemo maneno ya kumtongoza nk. na matendo hata kitandani atakuwa mkali atakuja kuachia tu ukishika sehemu nzuri... atafoka atafanya nini wewe komaa na uwe mtundu uonekane kama ndio umemuona mara ya kwanza na kiu zako si ndogo... kila la kheri