Mchumba hauguzwi

Hebu rudia tena, mnachofanya nyie ni afadhali? Kwahiyo maovu yenu nyie mnayaona yana afadhali kuliko ya kwetu? Lizarazu unaona nilichokuwa nakwambia sasa? Hapa napo mtasema nawatetea tu wanawake wenzangu?
Maovu mengi yetu nyie ni chanzo toka mwanzo mwa dunia au umesahau nyie ndo chanzo cha binadamu wa kwanza (Adam) kutenda zambi na kufukuzwa bustanini

Mwanaume ni kiumbe chenye utashi wa hali ya juu na ndo maana tukaumbwa kama kiongoz kwenu hatuna shida kabisa tatizo mnatuchokonoa sana tunaamua kufanya maamuz magumu ambayo nyie mnaita maovu ila kama mtaisha vzuri na sisi dunia itakuwa sehemu salama

Chukua ukweli mchungu hapa chini [emoji116]
Mwanamke Mara nyingi ni chanzo cha matatizo hata kweny mambo ya mahusiano au kifamilia lakini haimaanishi sisi wanaume sio chanzo sometimes tunaweza kuwa
 
Unataka ujue vilipo ili ukasikilize nini mkuu [emoji23] kule kuna matukio na malalamiko mengi hupaswi kuyaona ni aibu sana kama utasikia mashtaka yenu tunayoletewa

Kwahiyo hata tukikaa siku mbili hatujalala nyumbani au shemeji haonekani jua huo ni u busy wa kikao
Kwakua tunatumia nguvu nyingi kufika conclusion hamna haja ya kura inabidi mpokee tu sheria
Vikao vyenu mnakutanaga wapi vile ? Muwege mnatualika kila hoja tupige kura kuipitisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sio mnakaa peke yenu mnapitisha mkidhani tutatekeleza kirahisi hivyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Basi hicho ulichomalizia mwishoni ndicho nilichotaka ukiri kwamba wote wanaume na wanawake wanaweza kuwa chanzo cha maovu kwenye mapenzi na hilo ni kweli hivyo basi tuache kutupiana lawama kama tunaamua kuyakemea hayo maovu basi tuyakemee kwa jinsia zote na kama tunaamua kuyakalia kimya basi tuyakalie kimya kwa jinsia zote
 
Basi sawa siku nyingine kweny harakati zako usikemee maovu yetu na yakwenu pia usi base upande mmoja kama ufanyavyo

No offense miss Edelyn
 
Wanaume uguzeni tu wachumba zenu..swala la mabadiliko hutegemea ntu na ntu sio wote tuko ivyo
 
Mleta mada kaleta na mfano wa kisa kujustify point yake, na ww leta mfn wa kisa kimoja kujustify point yko
 
Basi sawa siku nyingine kweny harakati zako usikemee maovu yetu na yakwenu pia usi base upande mmoja kama ufanyavyo

No offense miss Edelyn
Kama unasomaga posts zangu na kuzielewa vizuri basi utagundua kuwa huwa sibase upande mmoja naanzaga na kusema wote tuna makosa ila kuna wanaume wanakuja wanapinga wanasema wanawake ndo tuna makosa sasa katika kuwajibu hao ili kuwathibitishia inaonekana ni kama nakemea maovu ya wanaume tu lakini kumbe ya wanawake nayo nilishayakemea
 
Mleta mada kaleta na mfano wa kisa kujustify point yake, na ww leta mfn wa kisa kimoja kujustify point yko
Sina haja ya kuleta mfano hapa ukiamini sawa usipoamini sawa na kutokuamini kwako hakubadilishi ukweli kwamba hayo mambo yapo maana naweza nikakuletea mfano hapa na bado usiamini vile vile
 
ila duh.....pagumu.....kusomesha bado ngumu...but kumuuguza...tuwe na utu kidogo jamani.....kweli anaumwa umkimbie....ntamtibia akiknikimbia poa...ntapata dhawabu yangu.....na akikimbia ujue hakuwa wako....
 
I am not so sure if men blame on women when things don't go in right tract, but what I know is you women have mastered in blame game and that's well known fact.

We can confidently prove this in skyrocketting divorce rate, about 80% of divorces filed by women worldwide.
Not only JF men but all men who blame on women in all matters maybe you can tell me the reasons why many if not all men like to blame on women in everything why?
 
Hebu rudia tena, mnachofanya nyie ni afadhali? Kwahiyo maovu yenu nyie mnayaona yana afadhali kuliko ya kwetu? Lizarazu unaona nilichokuwa nakwambia sasa? Hapa napo mtasema nawatetea tu wanawake wenzangu?
Anachosema ni kweli kabisa. Maovu ya mwanaume hayafikii hata kidogo dhambi na maovu ya mwanamke.

mfano, nionyeshe wanaume watatu waliowapiga chini wachumba zao baada ya kusaidiwa na kutoboa kimaisha, mimi nitakuonyesha wanawake 100 waliosomeshwa na wachumba zao kisha wakawapiga chini na kuolewa na wanaume wengine.

Nionyeshe wanaume wanne waliofanikiwa kupata utajiri kwa kukwapua mali za wake zao aidha kwa kutumia fimbo ya sheria au kuua kabisa, mimi nitakuonyesha wanawake 1000 waliojipatia utajiri kwa njia hiyo.

Nionyeshe wanaume sita waliokimbia watoto wao wa kuwazaa, mimi nitakuonyesha wanawake 200 waliowasingizia wanaume watoto na kisha kuwageuka baadae baada ya wanaume hao kuwalelea watoto hao.
 
Issa lie ooo
 
Ipo hivi wewe mifano ya maovu ya wanaume uliyokutana nayo michache mimi nimekutana nayo mingi na mimi mifano ya wanawake niliyokutana nayo michache wewe umekutana nayo mingi

Kwahiyo hapa kila mtu atavutia upande wake ila ninachotaka ufahamu ni kwamba uliyoyaona wewe kwenye maisha yako ni tofauti na niliyoyaona mimi kwenye maisha yangu

Haimaanishi kwamba jambo kwa sababu wewe haujawahi kuliona wala kulisikia basi halipo au halijawahi kutokea na pia haimaanishi kwamba jambo kwa sababu mimi sijawahi kuliona wala kulisikia basi halipo au halijawahi kutokea haya mambo yapo

Mimi itabidi nikubaliane na wewe kwa mifano uliyonayo na wewe itabidi ukubaliane na mimi kwa mifano niliyonayo na mwisho wa siku tutarudi pale pale kwamba hakuna jinsia ambayo imemzidi mwenzake kwa maovu kila jinsia ina maovu yake na ndo maana nikasema hakuna jinsia inayotakiwa kuilaumu nyenzie zote zina makosa
 
Mwenzenu huyu hapa

 
Hiyo ni roho ya ' kimaskini'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…