Mzee wa counterargument za utetezi ningeshangaa sana kama usingetokea kwenye huu Uzi.Kwani ni wanaume wangapi wanafanyiwa fadhila nyingi na wanawake zao kwenye mahusiano na bado hao wanaume wanawaacha hao wanawake mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu haya mambo wakifanyiwa wanawake mnaona ni kawaida ila mkifanyiwa wanaume mnaona ni uonevu
Kwahiyo wewe unatakaje? Niache kuwa natokea kwenye nyuzi za watu au?Mzee wa counterargument za utetezi ningeshangaa sana kama usingetokea kwenye huu Uzi.
Kwahiyo wewe unatakaje? Niache kuwa natokea kwenye nyuzi za watu au?
HahahaMzee wa counterargument za utetezi ningeshangaa sana kama usingetokea kwenye huu Uzi.
hapana sijamaanisha hivyo Edelyn. Mimi nimetambua tu uwepo wako wala sikuzuii kufanya chochote.
Kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu, kuwa ni maeufuku kumsomesha mchumba wako. Hili tulishalifunga na atakae tuletea malalamiko tutampiga kwenzi kuu, ndio tunampa ushauri.
Sambamba na hilo, niongezee kuwa ni marufuku kumuuguza mchumba wako. Hapa nazungumzia matatizo makubwa ynayoghalimu muda na Pesa za kutosha.
Baadhi ya magonjwa hayo ni, kisukari, kifafa, ugumba, miscarriage za Mara kwa Mara, moyo, figo na matatizo mengine sawa na hayo. Mwanamke ukimsaidia na kupona, dharau huwa kubwa sana na hata ndugu wanaweza kukuuliza, "unataka urudishiwe kiasi gani ili uachane nae".
Muuguze yule tu unayeishi nae kama hujamuoa achana nae.
*********** ushuhuda *********
Kuna jamaa anaitwa Steve, huyu bwana alikutana na demu mkali (Beth). Tatizo la huyo demu alikuwa na matatizo ya kukamaa mfano wa kifafa. Ndugu walihangaika wakachemka, wakakata tamaa.
Baada ya muda jamaa akajitosa. Akaanza kumhangaikia na demu akaenda kuponea kilolo ndani ndani huko. Jamaa ilimghalimu kama kilo 9 hivi, baada ya demu kupona ndugu wakampa ruhusa ya kuishi nae.
Mwaka mmoja mbele (mwaka huu), binti akawa hakamatiki. Madoni ya mji yaliyomdharau yakaanza kumfukuzia by hook and crook. Demu akaanza dharau, pia kutokana na jamaa kuunga unga tu life ikabidi asalimu amri.
Nilikaa nae muda mrefu na kumpa ushauri uliomsaidia sana. Maana jamaa alishaanza kupiga hesabu tu ya namna ya kuacha kuvuta oxygen. Lakini demu kuonesha kuwa hamtaki jamaa alikunywa mpaka sumu kuwaahinikiza ndugu zake wamtoe kwa jamaa.
Niishie tu hapo lakini, ole wake atakae muuguza mchumba!!!!!!!!!!.
Ubaya unalipwa kwa ubaya ! Haya mambo yasikie tu kwa mwenzako na omba yasikukute !Duu ukisikia dilema ndo hizi. Kama una point vile lakini pia kwa upande mwingine kama ni roho mbaya vile!!?[emoji848]
Sawa ila hilo jina ulilonipa ndo limenifikirishahapana sijamaanisha hivyo Edelyn. Mimi nimetambua tu uwepo wako wala sikuzuii kufanya chochote.
UKIKUA UTAMUELEWA MLETA UZI..Mimi sikubaliani na wewe mleta mada! Hicho kikao ulikaa mwenyewe! Usitegemee fadhila baada ya kumsaidia MTU. Kama ni wako, wako tu.
Hata kama hukumsadia ipo siku atakuwacha kama sio wako. Upendo haubagui
Sawa ila hilo jina ulilonipa ndo limenifikirisha
Hahaha naona una epuka Vita. ....
Umeniita mzee wa counterargument za utetezijina gani kwani si nimekuita Edelyn au? kipi kimekufikirisha mama?
Tena roho mbaya yenye kutuDuu ukisikia dilema ndo hizi. Kama una point vile lakini pia kwa upande mwingine kama ni roho mbaya vile!!?[emoji848]
Watanyooka tu na magu anavyokaza kila kitu kitakaa kwenye mstari lazima mkuki ugeuki nyumaKwani ni wanaume wangapi wanafanyiwa fadhila nyingi na wanawake zao kwenye mahusiano na bado hao wanaume wanawaacha hao wanawake mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu haya mambo wakifanyiwa wanawake mnaona ni kawaida ila mkifanyiwa wanaume mnaona ni uonevu
Waache waendelee kulalamika tuWatanyooka tu na magu anavyokaza kila kitu kitakaa kwenye mstari lazima mkuki ugeuki nyuma