Mchumba hataki tufunge ndoa

Mchumba hataki tufunge ndoa

Na mtoto wenu anaitwa peter au hilo ni jina mnalotarajia kumpa mtoto wenu ?
 
yani huyo jamaa watu wata mu overtake,unaoa mwanamke alafu unamwacha kwao??
 
kiaje daby?
mi nawaza kama kipaumbele chake nikuoa angesitisha ujenzi kwanza sababu nyumba yakuishi nzuri tu IPO angesitisha baada ya kumaliza swala la ndoa anaendelea na ujenzi
hataki yeye anataka tukubaliane aje na gali abebe vitu vyangi nihamie kwake
Sasa hautaki kuchukuliwa bila ndoa si umuambie atafte atakaekubali!!!


Mbona wengine wake zao hawakuolewa na wanamaisha safi tu binti
 
Ipo siku utamkosa hata wa kukwambia mkaishi pamoja.

Kama mahari amelipa wewe unasubiria nini?
Au hadi ucheze kwaito?

Ngoja ngoja uone litalotokea baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarin za jion wapendwa
Naomben mnisaidie mawazo
Ninamchumba wangu tuna mwaka na nusu tumeshamaliza taratibu zote mpaka mahari ameshatoa....mwanzo tulipanga tufunge ndoa mwezi wa 10nimekaaa nimeona kimya hata maandalizi hakuna ikabidi niulize VP utaratibu ....

Ndio akaniambia kwa sasa anaujenzi wa nyumban kwao anichukue tu hivyo hivyo mwaka kesho ndio tutafunga ndoa......mi nimemwambia kufunga ndoa haitaji gharama kubwa kama mkiamua mnafanya simple tu kwa gharama kidogo
Kwanza RC hua haina mambo mengi mnaweza nenda na wasimamizi wenu tu mkitoka mnaandaa chakula kidogo badae mnarudi kwenu
Anadai hili tendon halijirudii Mara 2 ni bora tuchukuane tu sasa hv badae akusanye kama mil 7 HV mwaka kesho afanye ya kifahari
...naomben mnishauri niende tu au nibane mpaka ndoa?
fiksi tu anakupiga..ndoa ya kifahari ndio ikoje au ndo nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom