Habarin za jion wapendwa
Naomben mnisaidie mawazo
Ninamchumba wangu tuna mwaka na nusu tumeshamaliza taratibu zote mpaka mahari ameshatoa....mwanzo tulipanga tufunge ndoa mwezi wa 10nimekaaa nimeona kimya hata maandalizi hakuna ikabidi niulize VP utaratibu ....
Ndio akaniambia kwa sasa anaujenzi wa nyumban kwao anichukue tu hivyo hivyo mwaka kesho ndio tutafunga ndoa......mi nimemwambia kufunga ndoa haitaji gharama kubwa kama mkiamua mnafanya simple tu kwa gharama kidogo
Kwanza RC hua haina mambo mengi mnaweza nenda na wasimamizi wenu tu mkitoka mnaandaa chakula kidogo badae mnarudi kwenu
Anadai hili tendon halijirudii Mara 2 ni bora tuchukuane tu sasa hv badae akusanye kama mil 7 HV mwaka kesho afanye ya kifahari
...naomben mnishauri niende tu au nibane mpaka ndoa?