Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Kwa hio mamba iko njia kuu ya Tarakea au ni wapi?hiyo hiyo ya marangu mwika
mamba ipo baada ya marangu mtoni.. unajua yawezekana tunaongelea njia mbili tofauti ? me naongelea njia ya himo marangu mamba kisambo komakundi msaye mwikaKwa hio mamba iko njia kuu ya Tarakea au ni wapi?
Itakuwa ndo hio hio... Nilikuwa Nikipata zamani wakati tunaenda kupakia mahindi Tarakea. Ha ha ha ha.... Miaka ya 2000 namamba ipo baada ya marangu mtoni.. unajua yawezekana tunaongelea njia mbili tofauti ? me naongelea njia ya himo marangu mamba kisambo komakundi msaye mwika
basi karibu tenaItakuwa ndo hio hio... Nilikuwa Nikipata zamani wakati tunaenda kupakia mahindi Tarakea. Ha ha ha ha.... Miaka ya 2000 na
Asante... Lakini leo nimeamkia Dar.....ila wiki ijayo nakuja tena.basi karibu tena
hata me nipo huku ulipoamkia kule mpaka kirimasiAsante... Lakini leo nimeamkia Dar.....ila wiki ijayo nakuja tena.
Sio kweli!pesa na kitu kinafanya kazi wee kuna wanaume hawadindi kabisa
KweliSio kweli!
Ha ha ha ha ha... Kwa hio?hata me nipo huku ulipoamkia kule mpaka kirimasi
Njoo huku barHa ha ha ha ha... Kwa hio?
Baa gani?Njoo huku bar
Akaoge naye ndo atajua ni bamia au chorokoshetani anahusikaje .tamaa zake mwenyewe anaogopa kibamia labda
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] katoliki ni shida eeeehhhhDu hiyo special 'delivery to be opened on your honey moon' nayo inataka moyo, ukikutana na vituko huko na ndoa yenyewe ni ra Roman Catholic sijui unafanya nini?
Rudys farmBaa gani?
Umevaaje? Nipo maeneo hayaRudys farm
Kwa hio hapo Unakata kilaji saa hizi au?Rudys farm
Kula bata mkuuUmevaaje? Nipo maeneo haya
Leo na katika kidogo naondoka muda si mrefuKwa hio hapo Unakata kilaji saa hizi au?
Mi situmii kilaji mkuu.... Ha ha ha haLeo na katika kidogo naondoka muda si mrefu