Mchumba .com

Yah background check ni muhimu..kuchunguzana tabia na kufahamiana vyema na muhusika ni muhimu vilevile...kuna vitu havivumiliki!Na nina mfano hai wa hilo!
 
Yah background check ni muhimu..kuchunguzana tabia na kufahamiana vyema na muhusika ni muhimu vilevile...kuna vitu havivumiliki!Na nina mfano hai wa hilo!

Kwa kuonja onja, haraka haraka na kutofuata sauti ya Mungu wengi tumekuta tunaingia kwenye mahusiano ya chap chap na kuolewa/kuoa waume/wanawake wasiokuwa wetu na kwa kuwa yaliyomo yamo tunapata na watoto wasio na kibali...

Muda unasogea na unakuja kurealise kwamba uchaguzi uloufanya mwanzo haukuwa sahihi na kwamba moyo wako una belong kwa mtu mwingine, sasa nawaza confession hapa inakuwaje? Utathubutu kusema ukweli wa roho yako kwamba umekiss fogs wote tokea A to Z alphabetically na kwamba kuna na wengine ulifanya supplementary kwa maana ya kurudia zaidi ya mara moja?
 
Kuna mambo hayafichiki rafiki kama mfano watoto/uliolewa au kuoa awali hivo vitu vina hitaji explanation A-Z lkn kuna vitu vingine ukivichunguza sana unajitafutia majeraha ya moyo waswahili wanasema ukimchumguza sana bata huwezi kumla!
 
Asee bora umchunguze hata kama unanjaa ushindwe kumla kuliko umle na badae awe sumu, kuna jirani yangu na harusi akafunga kumbe mwanamke ni mke halali wa mtu na bwana ake ni kwamba alisafiri kwenda ngambi kikaz ..
Hapa ndugu yangu alikurypuka asee
 
Kuna mambo hayafichiki rafiki kama mfano watoto/uliolewa au kuoa awali hivo vitu vina hitaji explanation A-Z lkn kuna vitu vingine ukivichunguza sana unajitafutia majeraha ya moyo waswahili wanasema ukimchumguza sana bata huwezi kumla!

Kuna wakati sisi wa jinsia ya kiume sijui tunakuwa na tatizo gani hasa....utakuta mtu ana mke ambaye hata kaka za binti walimwonea wivu kumpata kwa kuwa binti yuu mkamilifu tokea rohoni, upstairs na pia yaliyomo yamo lakini kutwa nzima mume kukimbizana midege isiyoliwa....
 
Hata sijui nisemeje...insecurity i guess...midege isiyoliwa ni nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…