englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Possible....
Hey stranger....habar njema tu!!Na za kwako?Habari za usiku mchuuuuuu....
Hey stranger....habar njema tu!!Na za kwako?
Tiresome kwa kweli....najihisi sijapumzika ipasavyo jana nilikuwa mzigoni full day!!Ha ha haaa...Your Highness Madam stranger....weekend yako imeishaje?
Tiresome kwa kweli....najihisi sijapumzika ipasavyo jana nilikuwa mzigoni full day!!
gorgeousmimi unaitwa ujibu PM...teh teh!!!gorgeousmimi nilikupim naomba unijibu if possible
ulini PM nini mkuu??Nadhani nilikujibu swali lako la afya!Litume tena kama hukupata jibu!gorgeousmimi nilikupim naomba unijibu if possible
Kabisa yote kheri tu my dia....Its for our better future...Madam tutumike sasa to the fullest tungali na nguvu zetu maana siku zetu za kuishi duniani zikiisha tutapata muda wa kutosha kupumzika hukoooo makaburini.....tafuta mtaji wa uzeeni maa'm!
Mambo zako??gorgeousmimi unaitwa ujibu PM...teh teh!!!
gorgeousmimi nilikupim naomba unijibu if possible
Daah kweli tupo wengi...hapa usaili unatuhusu! Suit Candidate ndo atakalia kiti cha utukufu!
Lol acha zako...
Embu ngoja niombe mwongozo Madam Speaker ....
Hivi kwenye hii NGO almaarufu kama ndoa ni jambo gani ni muhimu zaidi kati ya yafuatayo
Naomba jibu usinipe mji sitaki kusafiri sasa mabasi yamechukua nafasi ya Israel kwa sasa!
- Ukweli na uwazi tokea kwenye hatua ya mawindo? Ukweli naozungumzia hapa ni hadi ule mchungu!
- Uwezo kifedha na maisha ya hadhi ya juu?
- Usanii na ujanja ujanja mwingi?
Possible....
Ukweli na uwazi tokea kwenye hatua ya mawindo!
Mambo zako??
Yah mi mzima Watu8salama kabisa...bila shaka u bukheri wa afya