Unayemtafutia ni domo zege?mara ya mwisho kupima ukimwi ilikuwa lini?ana gari?kapanga ama ana nyumba yake?kapanga chumba ama chumba na sebule ama nyumba nzima?maeneo gani?mtaa gani na nyumba ipi coz nakuuliza hivyo hii jf ina member wengi unaweza kudanganya watu lakini sio siku zote ukitoa details hizo ninaamini ukijaribu kudanganya kuna jf members maeneo mengi b straight