Msalimie sana ....mwambie amemisika humu jukwaani arudi tu.Kaka yangu huyo mama mmoja baba mmoja, hivyo si ajabu kufanana. Kadi yangu ya kwanza ya maktaba kanikatia yeye kwa hiyo tumekunywa kutoka kisima kimoja.
Mbona yupo hapa, hata jana alikuwepo.Hakai sana anachungulia na kuchangia kidogo tu halafu anarudi kwenye miradi yake.Msalimie sana ....mwambie amemisika humu jukwaani arudi tu.
Mwambie rafikiye kutoka mama mwingine anammkumbuka ila kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wa moderator nilibadili I'd na kuiacha I'd kongwe na ya kihenga.
HahahaKaka yangu huyo mama mmoja baba mmoja, hivyo si ajabu kufanana. Kadi yangu ya kwanza ya maktaba kanikatia yeye kwa hiyo tumekunywa kutoka kisima kimoja.
Aaah, we wapi, we unachanganya mambo tu.
Ukishaamini Mungu, hata jambo la kuamua linakuwa na shaka.Athiest si sawa na Rastafarians bro nijuavyo mimi. Hawa wanaamini katika Sayansi tu na si Mungu wala mtu. Rastafarians wana imani yao.
Hata hivyo inatosha kujua kwamba kimtazamo lazima mnatofautiana mbali sana,hivyo.....ni wewe kuamua lipi jema kwako nautapenda kuwa na familia ya aina gani.
----Kupanga ni kuchagua----