Mchumba angu yuko Finland!

Hebu nieleweshe; kwa nini alikupeleka bedroom kwake wewe mdogo mtu?
Au hukuelewa jumbe?
 
Tena ana nyumba na gari? Wangemgombeaje? Angewachagua kama malimao mtini.
pamoja na kuwa ni hadithi.....
huyo dada hawezi kuwa serious.....

Wanaume wote hawa waliojaa?
Wapo kibaaaaaaoooooo wanatafuta kulelewa....

Angejivutia mmoja
 
Huyu nae ana kiranga. Hakumuelewa dada wa watu. Hii ndo trick ya 'sikukutongoza'. Unamuonyesha mtu bedroom yako na kumsimulia haujapata mwenza? Am i too old fashioned?
 
Huyu nae ana kiranga. Hakumuelewa dada wa watu. Hii ndo trick ya 'sikukutongoza'. Unamuonyesha mtu bedroom yako na kumsimulia haujapata mwenza? Am i too old fashioned?

I take it the narrator is supposedly a woman?

Wengine ma butch hawa, nyie shauri yenu tu.

Shoga shoga mie sipati wanaume, "anakushika mkono" anakupeleka chumbani, anakuonyesha kitanda, anakuketisha kitandani.Mara nywele zako nzuri kweli unatengeneza wapi, mara vidole vinaranda nyweleni, vinashuka, unabaki kuduwaa.
 
It never be too late unless you are dead...
Ni formula tu ya maisha kwamba ili upate kile lazima ukose hiki..
Wana bahati wanaovipata vyote at a get go....
 
bora mi mchumba wangu nilijiwahiaga mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
CC Dark City na FP
ah!sikutaka hizi habari za kuchelewa chelewa mimi!


Hayo ndiyo makosa ya kiufundi ambayo wadogo wetu wengine wanayafanya na gharama yake ni kubwa sana...

Kila tunda lina muda wake wa kulichuma...wrong timing ni very costly...

Babu DC!!
 
It never be too late unless you are dead...
Ni formula tu ya maisha kwamba ili upate kile lazima ukose hiki..
Wana bahati wanaovipata vyote at a get go....

Naomba kutofautiana na wewe mkuu...

Kwa mambo ya ndoa (ili kupata watoto) na kwa wale wadau wetu, timing ni muhimu sana Bro..

Babu DC!!
 
bora mi mchumba wangu nilijiwahiaga mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
CC Dark City na FP
ah!sikutaka hizi habari za kuchelewa chelewa mimi!

Ulijiwahia au nlikuwahi? Rekebisha kauli yako
 
Last edited by a moderator:
atafute wa kumlea wapo wengi tu serengeti boys
ameyataka mwenyewe,majuto mjukuu
 
shemeji siku hizi umekuwa mkaliiiiii!
unahisi kuna watu wananisololea nini!manake huuukali huu!sijui!:A S 39:

Ulinzi muhimu. Halafu hayo maneno ya ukali sikuandika mimi. Ni kaka ndo alikuwa anatumia ID yangu
 
Maneno yanayotoka ktk vinywa vyetu yanaumba...dada yetu kwa kuwa alishasema mchumba yuko Finland hana budi kulivunja hili neno ambalo shetani kalishikilia katika maisha yake, la sivyo atamsubiri maisha yake yote ya hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…