Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,498 May 29, 2020 #121 Apunguze kula, atakuwa anavimbiwa wali. Unless break zimeshafyatuka huko chini Sent using Jamii Forums mobile app
Apunguze kula, atakuwa anavimbiwa wali. Unless break zimeshafyatuka huko chini Sent using Jamii Forums mobile app
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 May 29, 2020 #122 Angalia vyakula anavyokula....
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 May 29, 2020 #123 Kuna mtu alikuja humu kuomba ushauri sababu anajamba sana Nadhani mtoa mada hii ndio partner wake
Ngatu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2018 Posts 263 Reaction score 185 May 29, 2020 #124 anapolala avae chupi,kaptula 3 na hakikisha kila mmoja anatumia shuka lake
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,484 Reaction score 19,990 May 29, 2020 #125 NIMEONA said: du, mpaka naogopa kujibu maswali mengine sasa kwa kuakisi angalizo walilonipa wadau wengine kuwa itakuwa kama namdhalilisha wakati kiuhalisia si lengo hata kidogo! Click to expand... Nimekuelewa mkuu Allamsikhi
NIMEONA said: du, mpaka naogopa kujibu maswali mengine sasa kwa kuakisi angalizo walilonipa wadau wengine kuwa itakuwa kama namdhalilisha wakati kiuhalisia si lengo hata kidogo! Click to expand... Nimekuelewa mkuu Allamsikhi
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,740 Reaction score 27,104 May 29, 2020 #126 Dinazarde said: asijishindilie mamisos, Akinywa maji na kula mboga za majani atapata choo kilain ,nadhan atakuwa hapati choo ndio maana anajamba hovyo Click to expand... Alaaah!! kumbe choo kigumu huambatana na mashuzi?
Dinazarde said: asijishindilie mamisos, Akinywa maji na kula mboga za majani atapata choo kilain ,nadhan atakuwa hapati choo ndio maana anajamba hovyo Click to expand... Alaaah!! kumbe choo kigumu huambatana na mashuzi?
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,750 Reaction score 91,838 May 29, 2020 #127 Analiwa Tgo.
N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,854 Reaction score 5,714 May 29, 2020 Thread starter #128 Mc cane said: Kuna mtu alikuja humu kuomba ushauri sababu anajamba sana Nadhani mtoa mada hii ndio partner wake Click to expand... sikubahatika hata kuiona hiyo mada yenyewe. hapana, hatuhusiani
Mc cane said: Kuna mtu alikuja humu kuomba ushauri sababu anajamba sana Nadhani mtoa mada hii ndio partner wake Click to expand... sikubahatika hata kuiona hiyo mada yenyewe. hapana, hatuhusiani
Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,658 May 29, 2020 #129 Hilo ni tatizo ambalo hata wewe linaweza kukupata. Mpeleke hospital
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,006 Reaction score 72,305 May 29, 2020 #130 hyperkid said: Alaaah!! kumbe choo kigumu huambatana na mashuzi? Click to expand... Eee maana hapati choo
hyperkid said: Alaaah!! kumbe choo kigumu huambatana na mashuzi? Click to expand... Eee maana hapati choo