Mchumba anatakiwa

Ukioa a matured lady unakuwa "zoazoa"? vibaya hivyo jamani
 
umasaini hapana. kwanza hawezi kuchunga ng'ombe na umri huu kujifunza kazi hiyo du!
 
Jamani hivi mbona mnakuwa hivyo hebu jaribuni kuwa serious. mwenzenu anamaanisha. Kwa taarifa yenu kuna watu ambao wako serious naona wao hawana hata muda wa kutoa comment hapa tayari wameshapm. Nyie endeleeni kujibizana hapa wakati wenzenu wameshaanza mapatano.Haya endeleeni
 
me me me. . .nakiri vigezo vyote kasoro umri tu, I thnk im 20 years younger. Can I still be 'all that she wants?'
 
me me me. . .nakiri vigezo vyote kasoro umri tu, I thnk im 20 years younger. Can I still be 'all that she wants?'

Why not send her a private msg? na wewe je, are you mature? does her age bother you?
 
Miaka 55 hehhehe lazima awe mcha mungu??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Anatafutwa mchumba mwanamume mtu mzima, kwa maana ya maturity. mtafutaji ni dada yangu ni mjane mkristo ana umri wa miaka 55 na watoto wawili. Ni mkulima mjasiriamali. Ni mcheshi na mcha Mungu, mkweli na mwaminifu. Wenye nia ya ukweli pm via Moony.

najaribu kuivuta picha ya muonekano wake...msinielewe vibaya.

namtakia kila la kheri anyway!!
 
Jamani hivi mbona mnakuwa hivyo hebu jaribuni kuwa serious. mwenzenu anamaanisha. Kwa taarifa yenu kuna watu ambao wako serious naona wao hawana hata muda wa kutoa comment hapa tayari wameshapm. Nyie endeleeni kujibizana hapa wakati wenzenu wameshaanza mapatano.Haya endeleeni

aya mapenzi ya siku izi!!
 
najaribu kuivuta picha ya muonekano wake...msinielewe vibaya.

namtakia kila la kheri anyway!!

Nakuelewa. unadhani ni ajuza, ana makunyanzi na manyama uzembe na kwa vile si muajiriwa wadhani ni mshamba.
Ni sawa kuvuta picha ni haki yako ya msingi pia ni haki yake kupenda na kupendwa baada ya kufiwa na mumewe.

Kama unajua size, basi anavaa viatu size 6; nguo American size 14; rangi maji ya kunde hajichubui wal hajawahi, nywele ni nyeusi na kwa mbali nywele zinaanza kuonyesha dalili ya kupata mvi anapendelea kusuka mitindo aina aina. je nimekusaidia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom