Mchumba anatafutwa!

Huyo apo anakuja
IMG-20220903-WA0004.jpg
 
I suppose you are looking for a classy, stylish and Intelligent lady awe na maujanja pia kama Theresa "queen of the South".
 
Habari wana jamvi, okay mambo yasiwe mengi wacha niende moja kwa moja kwenye mada.

Anatafutwa mchumba wa kike prefarable iwe Dar ila kama yuko mkoani si mbaya, ambae yuko serious na mwenye angalau 80% ya sifa zifuatazo:

Umri kuanzia miaka 27 mpaka 35.
Awe mwenye umbo la wastani lakini aliejaliwa nyama ( asiwe mnene ) akipenda ku work out itakuwa poa sana. Urefu angalau 1.6m, na uzito wa kuanzia 50kg mpk 70kg.

Awe mcha Mungu na anaemjua Mungu na hofu kwake.

Awe na elimu angalau kidato cha sita na kuendelea, akipatikana aliehitimu chuko kikuu itapendeza zaidi.

Ajue mapishi na ajue vyema majukumu ya mama mwenye nyumba hata kama anafanya kazi.

Asiwe amewahi kuzaa zaidi ya mtoto mmoja, ambae hajazaa kabisa atapewa kipaumbele.

Awe ana uelewa mpana na masuala ya mahusiano na mwenye kutaka kujifunza kila siku juu ya mambo mbalimbali yahusiyo mahusiano.

Awe flexible katika maisha, ajue kuwa maisha Yana pande nyingi nzr na mbaya. Awe tayari kuzipokea changamoto kadri zitakavyojitokeza.



Vigezo vya ziada
Awe stylish hata kama atavaa mavazi ya heshima, awe nadhifu na msafi binafsi na mazingira, aweze kusukuma ndinga au awe tayari kujifunza, mwenye upendo kwa ndugu na watu wa karibu.




Kuhusu mtakaji mchumba.

Umri miaka 42,
Elimu: Shahada ya pili katika rasilimali watu.

Mnyenyekevu, anaejua thamani ya mwanamke, na mwenye kuamini katika mahusiano na mapenzi yasiyojificha kwa ampendae.

Muajiliwa katika taasisi binafsi na mfanyabiashara pia.

Najitosheleza kwa kila kitu, kuanzia malazi, usafiri, vitegauchumi, n.k

Nilishawahi kuoa miaka miwili nyuma na nina watoto wawili ( atakaefanikiwa ataelezwa kwa urefu).

Gentleman, baadhi wanasema good looking (lol),


Twende kazi.
View attachment 2362623
View attachment 2362625
Meneja rasilimaliii
Unatafuta mchumba sio mfanyakazi bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom