Hao wasomi wenyewe pia hawajielewi, kwa mfano Livingston Lusinde, pro. Maji Marefu, na Joseph Msukuma waweke hapa bandiko la kutafuta mke,hao hao wasomi watakimbilia, wakati wanajua sifa za hao jamaa ni kusoma na kuandika tu . Ndugu tafuta chapaa hakuna cha msomi Wala nani wote utakula utakavyo.