Mchumba amepata mimba na mimi najenga

Kwao ndio walompA MIMBA????

Wakati unamqaga hukujua ni mbolea hiyo imerutubisha????

Anyway
Tembo hashindwi kubeba mzugo wake
 
Unataka kumuoa kwasababu ya mimba?
Ok! Muoe , nyumba mtajenga pamoja.
 

Life is not a rehearsal, it's a perfomance. Uliyavulia nguo, yaoge.
 
Hongera sana, maana unajenga na hawara mjamzito, hivyo vyote havitegemeani, inwards kuvifanya Pamoja.....
 
mkuu uliweza kuchagua ua moja kati ya maua mengi Tanzania ambalo ndo huyo bint mjamzito sasa kuchagua kitu kimoja kati ya viwili sijui nn kinakushinda....
uhai ni muhim zaid ko chagua mimba

nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…