Mchumba amepata mimba na mimi najenga

Hongera, hicho ni kipaji,una uwezo mkubwa wa kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja, ujenzi tumboni kwa mtu na ujenzi wa nyumba, hongera sana.
 
Kbsaaa habari ndio hiyooo... kwani alipokuwa anapiga kavukavu alidhania anarusha mawee kwenye dimbwiii au????

Yaani chini ya 30s ni shiiidaaa!
 
Woga wako ndio Ujinga wako, Weka mtoto ndani kaka
 
Khaa!!! Nimesoma mara 100 sijaona hiyo changamoto unayoisema. kwani milikuwa mnakutana wapi? Au na yeye anakusaidia kuchimba msingi hivyo una wasiwasi akiwa na mimba nguvukazi inapungua? Nauliza tu :glasses-nerdy:
 
hahahaaa!!! mambo mengine inabidi kucheka utadhani mazuri. Sasa ulimwambia asubiri lakini utamu mnapeana... ahahahaaa!!! kazi kweli kweli... komaa tu, jenga na ulezi pamoja...
 
kumbukumbu LA torati 22:28

Nonsense!!!
Zile sheria zilikuja kabla ya kristo.kitambo sanawalipewa israelites!sasa nenda kwenye agano jipya unipe kifungu kinachohalalisha we kufanya mapenzi kabla ya ndoa..amri kumi alizotupa mungu mojawapo ni usizini!kua kijana!
 
god is the same Jana Leo na kesho,either way wewe amini unachotaka na uniache niamini ninachotaka,Ka kwako ni dhambi well n gud kwangu sio dhambi,usijaribu kunilazimisha niamini unachotaka,hausomi biblia yako VYEMA_THOROUGHLY ndio mana unasema hivo kwaiyo tusilazimishane vya kuamini
 
Hayo ni matokeo baada ya kupanda, endelea kuvuna. Mbona hukushirikisha kama umelala nae bila kinga, tena mwezi mmoja tu uliopita. Hebu endelezeni familia, umeongeza idadi ya wababa Tanzania. Kapange mchukue kaeni pamoja, utajishangaa hata nyumba utaimaliza mapema maana huyo kakuletea Baraka!. Hongera sana Kijana!
 
Nonsense!!!
Zile sheria zilikuja kabla ya kristo.kitambo sanawalipewa israelites!sasa nenda kwenye agano jipya unipe kifungu kinachohalalisha we kufanya mapenzi kabla ya ndoa..amri kumi alizotupa mungu mojawapo ni usizini!kua kijana!

kwani hizo amri kumi zipo agano jipya au LA kale,zenyewe mbona unashika,au unadai kushika
 
hahahaaa!!! mambo mengine inabidi kucheka utadhani mazuri. Sasa ulimwambia asubiri lakini utamu mnapeana... ahahahaaa!!! kazi kweli kweli... komaa tu, jenga na ulezi pamoja...

Cheka tu ni ruksa,
 
ni kweli ni baraka ni kweli ninavuna nilichopanda Ila swl language ilikua nianze na nn?wala sipangi kuikataa iyo mimba
 
We fanya mpango wa kuoa, nyumba inaweza kusubir lkn mimba kila sku inakua

Mtajenga baadae, ukubwa jalala na majukum ndo kama ivo tena
 
Hujaeleza kwanza uko dini gani. Lakini chamsingi kubalianeni nendeni kalizungumzeni kwa familia yake mkubaliane ajifungue salama kwanza na baadae hata kama kutakuwa na mkataba, wakati wewe unaendelea kujenga utamuoa ukimaliza jengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…