emperor mo
Member
- Nov 9, 2014
- 41
- 6
Nani alikwambia ukioa hauwezi kujenga? Wengi tumeoa hatuna hata viwanja lakini pamoja na wake zetu tumelea watoto, tumesomesha na tumejenga vile vile.
Nakwasababu umesema unataka ujenge inaonyesha una kipato fulani. Hivyo nakushauri upange nyumba, uoe na mlee mtoto. Mambo mengine yatakuja tu kwa juhudi na mipango yenu wote wawili.
ivo vitu vinahusikaje hapo,nani alikwambia Mimi natumia hivyo vitu,nani alikwambia waliowachumba wakifanya ngono wanazini,soma biblia yako vizuri kitabu cha mambo ya walawi kama huna ushauri ni ushauri wangu kwako refer to your postacha bangi, acha viroba acha na uzinzi
Huyo alikuwa mke na sio mchumba kwasababu katika mila na desturi zetu, hupaswi kufanya tendo la ndoa kipindi cha uchumba mpaka uoe rasmi.
Emperor mo,pole sana dogo,nadhani kama angekuwa binti smart angeelewa wewe bado unahitaji kukua kiakili na msingebebeshana mimba za utotoni.
ivo vitu vinahusikaje hapo,nani alikwambia Mimi natumia hivyo vitu,nani alikwambia waliowachumba wakifanya ngono wanazini,soma biblia yako vizuri kitabu cha mambo ya walawi kama huna ushauri ni ushauri wangu kwako refer to your post
(na uache ushamba)
acha kulialia, acha kelele na acha kuropoka.[/QUOT
poa,aiko kwere nimekusoma