Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Mjukuu wangu natoka kusali sasa hivi.
Haijakatazwa ku appreciate.
Wewe huwa ni STAR wala usinishuku. Mie ni babu yako.:eyebrows::eyebrows:
konnie,be mai valentino!ha ha ha, mie huwa nataga tu
mwenza anakazi ya kuatamia
mie namsaidia kutotoa
afu yeye analea vifaranga
kama uko tayari niende kucheck hospitali
maana haya mayai yangu kuna wakati nilifulia nikayakaangia chips
sina uhakika kama bado yapo
baba Askofu,inakuhuu? Zis is for anda17!Dushelele maana yake nini
Acha hizo bana. . . .kubembelezwa hakuji mara mbili ujue!!!!Sitaki tuu......mi nampenda ila ye ndo anazingua, iweje anikumbuke kwa sababu kapwaya kwenye valentine?? (alafu nahisi kumchukia hadi mama yake maana ye ndo kauzibe khaa)!!!
kha! Taarifa za kiintelijensia zinasema huyo bwanako Invisible kila siku unamtia mingumi,tabu ya nini bana? Ishia huko huko.Si mpaka uwe kiukweli kweliii??? Ngoja nikutoe wasiwasi......najua unaogopa makofi mie huwa napapasa......sinaga hizo mambo za mkong'onto!!
Acha hizo bana. . . .kubembelezwa hakuji mara mbili ujue!!!!
Ye akitaka aende tu huko kwingine.....mi na namruhusu kabisa!!
kha! Taarifa za kiintelijensia zinasema huyo bwanako Invisible kila siku unamtia mingumi,tabu ya nini bana? Ishia huko huko.
kipipi tupa kurrrrrreeeeeeeeeeeeee!!!!!
konnie,be mai valentino!
Acha pozz. . . atakuwepo hapo kwako jumanne asubuhi. . . jiandae kwa mtoko!!
Hapana.....wala asihangaike, asijeharibu siku yake buree!!
Basi atalala hapo barazani. . .na atakufuata popote kwahiyo jiandae.
Nilaumu mimi. . .nilikua nimemficha ili ummiss kidogo. Embu mkubalie bana. . . . . !!!mmh......hapo nitamuonea huruma, ili kuepusha hilo basi kuanzia kesho sitokuwepo na sitopatikana kabisaa kwenye simu!! Mie nimemaind kweli, haiwezekani hilo tabasamu alifiche siku zote hizo jamani, alienda kumtabasamia nani??
Nilaumu mimi. . .nilikua nimemficha ili ummiss kidogo. Embu mkubalie bana. . . . . !!!
Kwanini akubali umfiche ilhali anajua kabisa me iko zimikia yeye??
Siunajua tena nilivyo mkorofi. . . nilimfungia kabisa ndani kwa kufuli.
Dah.. Love Is Timeless...
Nimesikia....byshernger and rejao are my valentino
nakunong'oneza 'namdanganya tu Rejao'